RC Ruvuma azindua Baraza la Wazee

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua Baraza la Wazee Mkoa wa Ruvuma katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Songea Klabu. Akizungumza kabla ya uzinduzi huo,Kanali Thomas amesema serikali imekuwa ikitoa huduma kwa wazee kwa kuzingatia sera ya Taifa ya wazee ya m waka 2003 na Sera ya Afya ya…

Read More

Vyanzo vikuu nane vya migogoro ya ardhi Dar

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Allan Kijazi amesema kupitia kamati aliyoiunda ya kutatua migogoro ya Ardhi Jijini Dar es Salaam imebaini vyanzo vikuu nane vya migogoro ikiwemo uvamizi,kughushi nyaraka na utapeli. Dkt. kijazi ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya matokeo ya ripoti iliyowasilishwa kwake na…

Read More

Dkt.Kiruswa aihakikishia Korea Kusini fursa za uwekezaji sekta ya madini

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameihakikishia Nchi ya Korea Kusini kuhusu uwepo wa fursa nyingi za uwekezaji katika Sekta ya Madini. Dkt. Kiruswa ametoa wito huo wakati akifungua mkutano wa kitaalamu wa African Minerals Geosciences Initiative (AMGI) uliolenga kuonesha maeneo ya kipaumbele sambamba na mkakati wa Serikali kuboresha taarifa za Jiosayansi uliofanyika Agosti…

Read More

Chalamila atoa siku 7 kwa watumishi wa bandari kubadilika

N Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kagera Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila,ametoa siku saba kwa watumishi wa makao makuu mamlaka ya Bandari(TPA),kubadilika kabla hajaanza kuchukua hatua dhidi yao. Chalamila, ametoa agizo hilo wakati akiongea na watumishi wa mamlaka hiyo wakati akikagua shughuli mbalimbali zinazozifanya. Aliongelea juu ya uholela wa mialo, unaopelekea upitishaji wa madawa ya kulevya. Amesema…

Read More

Ruvuma wapokea wawekezaji kutoka Misri

MILANGO ya uwekezaji mkoani Ruvuma imefunguka baada ya wawekezaji kwenye sekta ya kilimo kutoka nchini Misri kuwasili mkoani Ruvuma. Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza katika zao la mahindi ya njano ambapo kwa mwaka wanahitaji mahindi ya njano zaidi ya tani milioni moja. Akizungumza mara ya kupokea wawekezaji hao,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema…

Read More

Makinda:Asilimia 93.45 za kaya Tanzania zimehesabiwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema hadi kufikia Jumatatu ya Agosti 29, 2022,asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa huku taarifa zilizokwishakusanywa zikionesha kuwa ni asilimia 6.55 za kaya bado hazijahesabiwa. Makinda ameyasema hayo jijini Dar es Salaam jana wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya zoezi la…

Read More