Habari za Kitaifa

Mamji Aahidi Makubwa Yanga

Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Matawi ya Yanga Dar es Salaam, Boas Ikupilika, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji amewaahidi kuisuka Yanga mpya kwenye dirisha dogo la Novemba. Manji pia ameahidi kumpa sapoti kubwa Kocha Mwinyi Za­hera kuhakikisha sifa ya Yanga inarejea kwani amewakubali wachezaji baada ya kuwaona kwenye Uwanja wa Taifa hivi ka­ribuni alipokwenda kuwaangalia. Usajili wa dirisha ...

Read More »

Stars yatoka Sare ya 0-0 na Uganda

Kikosi cha Taifa Stars, kimelazimishwa sare ya bila kufungana kikiwa ugenini dhidi ya wenyeji wake Uganda. Mechi hiyo ya kuwania kufuzu Afcon imepigwa kwenye Uwanja wa Namboole jijini Kampala na Stars iliyokuwa ikiongozwa na nahodha Mbwana Samatta imeonyesha soka safi na kuwapa wakati mgumu Uganda. Stars ilifanya mashambulizi mengi zaidi langoni mwa Uganda, hasa katika kipindi cha pili, hali iliyowalazimisha ...

Read More »

AJALI YA MAGARI MATANO MBEYA, WALIOFARIKI WAFIKA 15

Idadi ya watu waliokufa katika Ajali ya lori iliyogonga Magari mengine manne kabla ya kupinduka na kuwaka moto kwenye mteremko mkali wa Iwalanje, eneo la Igawilo jijini Mbeya imefikia 15, baada ya majeruhi wengine wawili kufariki dunia wakati wakipewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya. Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda, Dk. Petro Seme amesema ...

Read More »

Mussa Azzan Zungu Achanganyikiwa na Hoja ya Mbunge wa Chadema

Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu amejichanganya wakati wa kutoa majibu ya kura ya uamuzi na kufanya wabunge wa Kambi ya Rasmi ya Upinzani kulipuka kwa furaha kwa kupiga makofi. Hilo limetokea wakati Bunge lilipokaa kama kamati ya Bunge zima kupitisha Muswada wa sheria ya bodi ya Kitaalam ya Walimu kwa mwaka 2018 bungeni leo Septemba 5 2018. Zungu amejichanganya ...

Read More »

Viwanja, mashamba ya Musukuma kupigwa mnada

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma. Mali zilizotajwa kupigwa mnada ni pamoja na kiwanja Na.275 Block kilichopo Mbezi Dar es Salaam na kiwanja Na.’2’ block ‘A’kilichopo Korogwe mjini. Mali nyingine ni shamba Na.201 liliolopo kijiji cha Igate Mkoani ...

Read More »

MIAKA 54 YA JWTZ: JENERALI MABEYO, MAKONDA WAFANYA USAFI

MKUU wa Majeshi yaUlinzi nchini (JWT), Venance Salvatory Mabeyo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wameongoza maadhimisho ya mwaka wa 54 tangu kuundwa kwa jeshi hilo, kwa kufanya usafi jijini Dar es Salaam. Mabeyo na Makonda mapema leo wamefanya usafi katika eneo la Kambi ya JWTZ eno la Lugalo jijini Dar es Salam sambamba na viongozi ...

Read More »

Mwanafunzi aliyezirai kwa kipigo, aruhusiwa kutoka hospitali

Mwanafunzi wa sekondari ya Kalangalala mkoani Geita, Jonathan Mkono anayedaiwa kupigwa na mwalimu wake na kulazwa hospitalini, ameruhusiwa leo mchana Septemba Mosi, 2018. Mkono alikuwa amelazwa hospitali tangu Agosti 30 baada ya kuchapwa na kupoteza fahamu na mwalimu wa nidhamu, Lawson Lechipya kwa kosa la kukutwa bwenini wakati wa vipindi jambo lililosababisha maumivu makali mwilini. Akizungumza na waandishi wa habari ...

Read More »

  Serikali imesema iko tayari kutangaza katika Gazeti la Serikali msitu wa Mwalimu Nyerere uliopo Butiama Mkoani Mara kama eneo lindwa kimazingira, kufuatia ahadi iliyotolewa mwaka jana wakati wa kilele cha Siku ya Mazingira Duniani iliyofanyika Butiama Mkoani Mara. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba mara baada ya kutembelea ...

Read More »

Meya mwita ataka Kiswahili kufundishia sekondari, vyuo

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam,Isaya Mwita ameishauri serikali kuanza kutumia lugha ya Kiswahili katika kufundisha masomo ya shule za msingi, sekondari na vyuo ili kuwawezesha wanafunzi kupata uelewa. Kauli hiyo ameitoa jana jijini Dar es salaam alipokuwa akizindua mashindano ya ya mashaiiri ya Meya wa jiji yaliyodhaminiwa na kampuni ya mabati ya Alaf. Alisema ni vyema kama ...

Read More »

16 WANAODAIWA KUKWAPUA FEDHA ZA USHIRIKA WILAYANI HAI ,WAWEKWA NDANI KWA AMRI YA DC SABAYA

WATU 16 wakiwemo viongozi wa Bodi ya Ushirika wa Umoja wa watumia maji katika kijiji cha Mijongweni (UWAMI) wanashikiliwa na Jeshi la  Polisi kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya  wakituhumiwa kuhusika na ubadhilifu wa fedha za mradi zaidi ya Sh Mil 200. Mbali na Viongozi wa Bodi ya ushirika huo wakiongozwa na Mwenyekiti wake ,Nuru Ndoma ...

Read More »

Tamwa waandaa soko la wazi kuhamasisha wajasiriamali wanawake – Habari

Chama cha Waandishi wa Habari wanawake Tanzania (Tamwa) wameandaa soko la wazi litakalofanyika Dunga katika viwanja vya ofisi za Halmashauri, Jumamosi Septemba Mosi kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Agosti 30 na Mkurugenzi wa TAMWA Zanzibar, Mzuri Issa imesema soko hilo la wazi ni la tatu na litakuwa likifanyika kila mwisho ...

Read More »

MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri , kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa TAMISEMI, Mkapa House leo jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (kushoto) akizungumza na ...

Read More »

Wanafunzi Waandamana Mwenzao Kupigwa na Mwalimu Hadi Kuzirai

WANAFUNZI wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita wameandamana kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo kile kinachodaiwa kwamba mwanafunzi mwenzao kupigwa na mwalimu hadi kupoteza fahamu.   Mwanafunzi huyo, Jonathan Mkono anadaiwa alipigwa na Mwalimu waliyemtaja kwa jina moja la Lawi jana Agosti 30, 2018 kwa kosa la kuingia bwenini ...

Read More »

WAKILI Jeremiah Mtobesya aliyekuwa akiwawakilisha Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake nane wa chama hicho, amejitoa kwenye kesi hiyo leo Agosti 23 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri. Mtobesya amejitoa katika kesi hiyo baada ya Mahakama ya Hakimu Kisutu kutupilia mbali maombi yao ya kutaka kesi hiyo ya jinai namba 112 ya ...

Read More »

WASANII ASLEY , SHILOLE WASAINI NA TTCL KUNOGESHA KAMPENI YA RUDI NYUMBANI KUMENOGA

  Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba (kulia) akibadilishana hati ya mkataba na msanii Zuena Mohamed maarufu kama Shilole ‘Shishi Baby’ (kushoto), mara baada ya kusaini mkataba huo. Mkataba huo ambao pia msanii Asley Isihaka maarufu kama Dogo Asley amesaini na kampuni hiyo, waasanii hao wameingia makubaliano kushiriki katika Kampeni kubwa ya Rudi Nyumbani Kumenoga itakayoshirikisha Mikoa yote ya ...

Read More »

Lugola amuagiza DCI amkamate aliyekuwa mkurugenzi Nida

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Mkurugenzi wa Makosa Jinai nchini (DCI) kumkamata aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu kabla ya saa 12 jioni leo na tayari ameshakamata na kupelekwa Dar es Salaam. Lugola pia ameagiza kukamatwa kwa wamiliki wa kampuni tatu zinazodaiwa kuhusika katika mradi wa vitambulisho vya taifa, Gotham’s International Limited, ...

Read More »

ACT Wazalendo wamtaka Museveni amuachie ‘Bobi Wine’

Chama cha ACT-Wazalendo kimemuandikia barua ya wazi Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kikimtaka amuachie Mbunge Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) na wabunge wengine wanaoshikiliwa na Polisi. Kimemtaka Rais Museveni kuweka mbele haki za binadamu kuliko maslahi yake yanayohusiana na siasa na kuwa yeye kama kiongozi mkongwe anatakiwa kuonesha Demokrasia kubwa. ACT-Wazalendo kimesema wabunge hao wanatakiwa kuachiwa ili wakapatiwe matibabu kutokana na ...

Read More »

Upelelezi unasubiriwa kutoka Australia kesi ya ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’

Kesi ya kughushi kibali cha madini ya U.S.D Mil 8 inayomkabili mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein maarufu ‘Ndama mtoto ya Ng’ombe’ kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo upelelezi wake unasubiriwa kutoka nchini Australia. Hayo yameelezwa na wakili wa serikali, Elia Athanas mbele ya Hakimu Mkazi, Maira Kasonde wakati kesi hiyo ilipoitishwa kwa ajili ya kutajwa. Wakili Athanas ameeleza kuwa upelelezi wa ...

Read More »

Mbowe Ampa Pole Rais Magufuli kwa Kufiwa na Dada Yake

August 19,2018 Rais Magufuli amepata msiba kwa kufiwa Dada wa yake Marehemu Monica Magufuli amabye amefariki akiwa na umri wa miaka 63, ameacha watoto 9, pamoja na Wajukuu 25. Viongozi mbalimbali wametoa pole kwa Rais Magufuli kupitia mitandao ya kijamii. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kupitia ukurasa ameandika “Kwa niaba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na wana CHADEMA wote, ...

Read More »

BREAKING: Madiwani Wawili CUF Wahamia CCM

Chama Cha Wananchi (CUF) kimeendelea kupata pigo, baada ya madiwani wake wawili kujivua uanachama wa chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Madiwani hao wa Kata ya Kilindoni, Hamad Musa na Hassani Mohammed wa Kata ya Jibondo wilayani Mafia wamesema wamefanya uamuzi huo baada ya kuridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons