Namoto aelezea mafanikio na changamoto za wamachinga 2022

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASO),kimeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa jitihada za kuwaboreshea mazingira ya kufanya kazi zao ikiwemo kuwaweka kwenye mpangilio mzuri pamoja na kujenga masoko ya kisasa. Akizungumza na Jamhuri Mwenyekiti wa KAWASO Namoto Yusufu Namoto, amesema kuwa mwaka 2022 wamachinga wamepata mafanikio lukuki…

Read More

CCM si Shwari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Kwa muda mrefu sasa vita ya mamlaka bado inaendelea kuathiri mwenendo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku ikizidi kuchagizwa na vitendo vya fitina, uongo na uzushi. Licha ya kukemewa na hatua mbalimbali za kinidhamu na kimaadili kuchukuliwa kwa baadhi ya wanachama, lakini vitendo hivyo bado vimekuwa kama saratani isiyotibika, kwa sababu vinazidi…

Read More

CCM washauriwa kutopoteza muda kwa malumbano

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amewataka wana CCM kutopoteza muda kwa malumbano na majibizano kwa kuwa kuna kazi muhimu mbele yao ya kujenga Chama na nchi. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi wameanza…

Read More