Habari za Kitaifa

UFAFANUZI WA KUKAMATWA KWA GARI YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Ndugu waandishi wa habari. Napenda kutumia fursa hii kuwapa pole wananchi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na taarifa ambazo zimeripotiwa leo kwenye baadhi ya magazeti. Jumamosi ya Tarehe 27 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita alishiriri kwenye kampeni za mgombea  Ubunge wa Jimbo la Kinondoni Salum Mwalimu ambapo. Ambapo kabla ya kufika kwenye eneo ...

Read More »

Rais Magufuli Akutana na Dkt. Slaa Ikulu

Rais Magufuli akifurahia jambo na Dkt. Slaa.   RAIS Dkt. John Magufuli amempongeza Balozi mteule Dkt. Wilbrod Slaa kwa moyo wake wa kizalendo wa kukubali kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania katika taifa ambalo atapangiwa muda wowote kutoka sasa huku akijivunia kuwa hakukosea kumchagua yeye (Dkt Slaa) Magufuli akiagana na Slaa.   Rais Magufuli ameeleza hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo ...

Read More »

UFAFANUZI WA KUKAMATWA KWA GARI YA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Ndugu waandishi wa habari. Napenda kutumia fursa hii kuwapa pole wananchi wa jiji la Dar es Salaam kutokana na taarifa ambazo zimeripotiwa leo kwenye baadhi ya magazeti. Jumamosi ya Tarehe 27 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita alishiriri kwenye kampeni za mgombea  Ubunge wa Jimbo la Kinondoni Salum Mwalimu ambapo. Ambapo kabla ya kufika kwenye eneo ...

Read More »

Nabii Tito Apandishwa Mahakamani, Anyimwa Dhamana

Onesmo Machibya almaarufu Nabii Tito aliyetengeneza vichwa vya habari kutokana na mahubiri yake ya kuhimiza ulevi na uasherati, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, na kusomewa mashtaka ya kujaribu kujiua. Nabii Tito alifanya jaribio la kujiua Januari 25, mwaka huu akiwa mahabusu, ambapo inadaiwa kwamba alijikatakata na wembe kwa lengo la kuyakatisha maisha yake. Alipotakiwa kujibu mashtaka yanayomkabili, Nabii ...

Read More »

Dk Tulia apokea msaada kwa watoto wenye uhitaji maalumu

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson,akipokea alama ya Tasisi ya Human Relief Foundation kutoka kwa Mkurugenzi wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery.   NAIBU Spika Tulia Akson amepokea msaada wa vifaa mbalimbali kutokea kwa Taasis ya Human Relief kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi wenye uhitaji maalum wa ya Katumba ya mkoani Mbeya. ...

Read More »

Rais Shein Ahudhuria Chakula cha Mchana na Vijana wa Halaiki

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika na Vijana na Wanafunzi walioshiriki katika Halaiki ya kuadhimisha Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar BAADHI ya Wanafunzi na Vijana walioshiriki katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakijumuika katika hafla ya chakula ...

Read More »

BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania nchi Ubelgiji Mh:Edward Joseph Sokoine katikati akiwa na baadhi ya watanzania waliofika jana kwenye kikao cha kusikiliza na kutafutia ufumbuzi kero za watanzania wanaishi mbali na Tanzania. {Picha zote na Maganga One Blog}  Kiongozi wa Watanzani kitongoji cha Antwerpen nchini Ubelgiji ndugu Joseph Makani akimkaribisha Mh;Balozi na maafisa Ubalozi alioambana nao hapa jana,kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi ...

Read More »

JAJI MKUU AWATAKA WATUMISHI KUONGEZA IMANI YA MAHAKAMA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akijiandaa kuanza Matembezi ya uzinduzi wa wiki ya Sheria leo jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni mkewe akifuatiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akiwa na ...

Read More »

Magufuli Ahudhuria Msiba wa Jaji Kisanga Oyster Bay

Rais John Magufuli akisaini kitabu wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Jaji Robert Kisanga leo jijini Dar es Salaam. …Akiongea katika msiba huo katika kuwapa pole wafiwa.  Kulia ni Mama Janeth Magufuli, mke wa rais. …Akiwa na viongozi mbalimbali waliofika katika msiba huo. Marehemu Jaji Kisanga (aliyesimama) enzi za uhai wake. Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth leo wamefika nyumbani ...

Read More »

JUMUIYA YA WAZAZI CCM WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mdolwa akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pamoja na mambo mengine kilitarajiwa kuchagua Wajumbe wa Baraza la Utekelezaji Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mdolwa akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha ...

Read More »

DK. SHEIN ATOA MSIMAMO KUHUSU MUDA WA KUKAA MADARAKANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein amesema hayupo tayari kuongeza muda wa uongozi kutoka miaka mitano hadi saba kwani kufanya hivyo ni kukiuka katiba ya Zanzibar. Dkt Shein amesisitiza kwamba, aliapa kuilinda katiba ya Zanzibar hivyo hawezi kubadilisha muda wa uongozi na hakuna mtu atakayemfanya abadilishe au amvutie yeye kuendelea kukaa madarakani. Rais ...

Read More »

Tido Mhando Afikishwa Mahakamani

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), Tido Mhando (kushoto), amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar leo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa TBC. Tido ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Azam Media anakabiliwa na mashtaka manne ya matumizi mabaya ya madaraka ambapo moja ya mashtaka hayo ni uhujumu uchumi na kuisababishia ...

Read More »

Makonda Asema Wtaendelea kuwatibu wanaomtukana Rais Dkt Magufuli

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amefunguka na kusema kuwa wao kama viongozi wanazidi kuimarisha huduma mbalimbali za afya ili watu ambao wanamtusi Rais Dkt John Pombe Magufuli wazidi kuwa na afya nzuri. Makonda amesema hayo leo Januari 25, 2018 akiwa katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam alipofanya ziara na kumpongeza Mkuu wa Wilaya ya ...

Read More »

MSIBA WA GWAJIMA WAWAKUTANISHA MEMBE NA LOWASSA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani, Bernard Membe walipokutana leo katika msiba wa mama mzazi wa Askofu Josephat Gwajima nyumbani kwake Salasala, Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni  Mbunge wa Vunjo, James Mbatia;  Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema,  Bernard Membe  na Lowassa wakiwa kwenye ...

Read More »

MWENYEZI MUNGU ANAZIDI KUTENDA MIUJIZA KWA TUNDU LISSU

  Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika zaidi.

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI SHARJAH EAST FISHING PROSESSING

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki na kusafirishwa nje  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi ...

Read More »

DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UMOJA WA NCHI ZA KIFALME ZA KIARABU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizunguma na Mtukufu Dk. Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi alipofika katika makaazi yake kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu. ZANZIBAR na Sharjah zimekubaliana kuendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano wao uliopo katika kuimarisha sekta mbali mbali za ...

Read More »

WAZIRI WA NISHATI ARIDHISHWA NA KAZI YA UJENZI WA NJIA YA UMEME KUELEKEA STIEGLERS GORGE

 Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ( wa Nne kushoto) akikagua maeneo ambayo miundombinu ya usafirishaji umeme inajengwa kuelekea katika eneo la Mto Rufiji utakapotekelezwa mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 2100. Wa Tatu kulia ni Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Regina Chonjo na wengine ni watendaji kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kampuni ya  ETDCO ambayo ni kampuni ...

Read More »

ELIMU YA KULIPA KODI YAENDELEA KUTOLEWA KWA WATANZANIA

 Afisa Muelimishaji Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bi. Rose Mahendeka akiwaelimisha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) kuhusu Kodi na Mabadiliko ya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2017/18 katika ukumbi wa mikutano wa mamlaka hiyo 24 Januari, 2018.  Msaidizi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Chama Siriwa akiwasilisha ...

Read More »

Wakulima, Wasambazaji Mbolea Rukwa Waridhishwa na Upatikanaji wa Mbolea

Wafanyabiashara wakubwa wa mbolea Mkoani Rukwa pamoja na wakulima wameridhishwa na upatikanaji wa mbolea na kusifu juhudi za serikali baada ya kupaza sauti zao na kusikika na Rais Dk. John Pombe Magufuli na jambo hilo kufanyiwa kazi ndani ya muda mfupi. Wafanyabiashara hao wamesema kuwa wakulima hivi sasa hawapangi tena foleni kusubiri mbolea iliyokuwa ikipatikana kwa taabu na kwa kunyang’anyiana ...

Read More »

TANZIA: Jaji Kisanga Afariki Dunia

Jaji mstaafu, Robert Kisanga amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Regency Dar. Rais wa Chama cha Majaji Wastaafu, Thomas Mihayo amethibitisha. Kisanga aliwahi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa, pia alikuwa mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kabla ya kustaafu mwaka 2008. R.I.P Jaji Kisanga.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons