Utapeli wa ardhi Dodoma
Mjane miaka 84 alizwa, mabaraza ya ardhi yakithiri rushwa Lukuvi aombwa kutatua mgogoro Mkazi wa Kijiji cha Handali, Wilaya ya Dodoma Vijijini, Hilda Mzunde (84), amemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ardhi kati yake na kijana Charles Kwanga anayefanya mikakati ya kumdhulumu kiwanja chake. Akiongea na…