YUTONG yazindua basi la kisasa
Kampuni ya kutengeneza mabasi aina ya Yutong kwa kushirikiana na Benbros Motors Ltd, imezindua basi la kisasa lenye uwezo mkubwa ili kupunguza ajali za mara kwa mara. Akizungumza katika uzinduzi huo, Afisa Masoko, Albert Currussa, wa Benbros Motors Ltd anasema kwamba kampuni hiyo imeingiza sokoni gari hilo F12Plus lenye uwezo wa kuhimili barabara za aina…