MV Liemba yatenga bil.8.1/- kwa ujenzi wa meli mpya

Na Abdulrahman Salim,JamhuriMedia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL),Meja Jenerali Mst. John Mbungo amempongeza Rais wa Awamu ya Sita Samia Suluhu Hassan kwa kutenga Shilingi Bilioni 45.1 kwa ajili ya kujenga meli mpya pamoja na kuzikarabati meli zilizokuwa hazitoi huduma kwa wananchi katika ziwa Tanganyika. Pongezi hizo amezitoa tarehe jana…

Read More