Spika ajaye

*Msekwa asema kuna waliojitokeza kutangaza majina yao *Chenge, Dk. Tulia, Dk. Kashililah  watajwa kumrithi Ndugai DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Nani kurithi nafasi ya Spika wa Bunge baada ya Job Ndugai kujiuzulu Januari 6, mwaka huu, ni swali gumu kujibika ndani ya CCM. Hadi kufikia Jumamosi ya wiki iliyopita, idadi ya wanachama wa Chama…

Read More