Benki yazidisha uonevu kwa wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baada ya gazeti hili la uchunguzi kuchapisha taarifa za benki moja nchini zinazoeleza kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo ana dharau, ananyanyasa na kufukuza wafanyakazi hovyo bila kuheshimu sheria za kazi wiki mbili zilizopita, mambo makubwa yameibuka. Katika habari iliyopita tulichapisha taarifa za mwakilishi wa benki hiyo Zanzibar…

Read More

Tumekubali kusarenda kwa watia mimba

Kumekuwapo mjadala mpana unaohusu nafasi ya wanafunzi wajawazito kurejeshwa kwenye mfumo rasmi wa elimu. Jambo hili limezungumzwa kwa miaka mingi bila suluhu. Si jambo jepesi katika mfumo wa maisha ya Kitanzania, hasa tukizingatia kuwa wapo wahafidhina wasiopendelea mageuzi kwenye mambo ya kimaadili. Kitu kimoja tunaweza kukubaliana wengi, japo si wote – nacho ni haki ya…

Read More

Vigogo 5 wasimamishwa Dar

DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Vigogo watano wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa ufisadi wa mamilioni ya shilingi. Tayari Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kufanya ukaguzi huo maalumu kubaini upotevu wa fedha hizo za mapato yanayokusanywa kupitia mashine za POS….

Read More