Soka

Msimbazi ni majonzi

Wanachama na wapenzi wa Klabu ya Soka ya Simba ya Dar es Salaam, pamoja na wapenzi wa soka ndani na nje ya nchi wako kwenye majonzi makubwa baada ya kutekwa kwa mfadhili na mwekezaji mkuu wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (Mo). Tangu taarifa za kutekwa kwake zianze kuvuma asubuhi ya Oktoba 11, mwaka huu, wanachama na wapenzi wa Simba wamekuwa ...

Read More »

Taifa Star Yapania Kuwatandika Cape Verde

Ndoto za kucheza fainali za mwakani za michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zitakazofanyika Cameroon zinaweza kutimia iwapo tutapata ushindi leo ugenini dhidi ya Visiwa vya Cape Verde. Wachezaji wa Taifa Stars wanapaswa wajue kuwa wana jukumu zito leo chini ya kocha wake Mnigeria Emmanuel Amunike na jukumu lenyewe ni kupata ushindi leo ugenini. Katika soka hilo linawezekana. ...

Read More »

WAKALA WA SAMATTA AKANUSHA TAARIFA ZINAZOZAGAA KUHUSU MBWANA KUKIPIGA LIGI YA EPL

Baada ya kuzuka tetesi jana juu ya Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ulaya, wakala wa mchezaji huyo, Jamali Kisongo, ameibuka na kukanusha habari hizo. Iliripotiwa kuwa Samatta ameanza kuwindwa na timu kadhaa zinazoshiriki Ligi Kuu England ikiwemo Everton, Brighton, West Ham na Aston Villa. Kisongo amesema kuwa hizo ni tetesi tu ambazo zimezushwa na hazina ...

Read More »

Mourinho, mwisho wa enzi!

NA MWANDISHI WETU Alexis Sanchez anaweza kuwa ameokoa kibarua cha Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, kufukuzwa mapema wiki hii baada ya kuwafunga Newcastle United 3-2 mwishoni mwa wiki. Endapo Jose Mourinho ‘The Special One’ atafungashiwa virago, Meneja wa Tottenham, raia wa Argentina, Mauricio Pochettino, anatajwa kurithi mikoba yake. Mourinho amekalia kuti kavu kutokana na timu yake ya Man United kutofanya ...

Read More »

KLABU YA SIMBA YASITISHA RASMI MKATABA NA KOCHA WAKE MSAIDIZI

Uongozi wa Klabu umeuvunja rasmi mkataba na kocha wake msaidizi Irambona Masoud Djuma kuanzia leo Oktoba 8, 2018 Taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo imesema uamuzi huo umekuja baada ya mazungumzo kwa pande zote mbili hivyo ni kwa faida ya klabu na kwa maslahi ya pande zote Aidha, Djuma amesema kuwa hakutegemea kama siku moja angefika Simba SC, anashukuru sana ...

Read More »

Manara Asema Hakuna Pengo la Bocco Leo Dhidi ya Yanga Sc

Uongozi wa klabu ya Simba kupitia Ofisa Habari wake, Haji Manara, umesema kukosekana kwa Nahodha wake, John Bocco, hakutoweza kuleta athari yoyote katika mchezo dhidi ya Yanga leo. Simba itakuwa mwenyeji kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza na watani zao wa jadi Yanga kuanzia majira ya saa 11 za jioni. Kuelekea mechi hiyo, Manara ameeleza pengo la Bocco ...

Read More »

Mbwana Samatta Apiga tena hat-trick

Ligi Kuu Ubelgiji msimu wa 2019/20 imeendelea tena jana club ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilikuwa nyumbani Luminus Arena kucheza game yake ya 9 ya Ligi Kuu dhidi ya Zulte Waregem. Game hiyo ilikuwa na mvuto wa kipekee kwani Genk ndio inacheza kwa mara ya kwanza dhidi ya nahodha wake wa zamani aliyeihama timu hiyo na kujiunga ...

Read More »

Zidane Ajiandaa Kuchukua Mikoba ya Mourinho Man U

Jumamosi ya September 29 2018 club ya Man United ilikuwa London kucheza game yake ya ya Ligi Kuu England dhidi ya wenyeji wao West Ham United katika uwanja wa London Stadium. Man United ambayo ipo katika wakati mgumu kwa sasa huku ikihusishwa kutaka kumfuta kazi kocha wake Jose Mourinho kutokana na mwenendo mbaya wa timu hiyo,ilikubalii kipigo chake cha tatu ...

Read More »

Man City yachekelea faida

Manchester, Uingereza Mabingwa wa Ligi Kuu nchini Uingereza, Klabu ya Manchester City, wametangaza kupata faida ya kiasi cha pauni milioni 500.5 sawa na Sh bilioni 1.5 kwa msimu wa 2017/18 na kuvunja rekodi ya mapato tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo mwaka 1880. Pia klabu hiyo imetangaza kuwa tangu kuwasili klabuni hapo kwa Kocha wake, Pep Guardiola, wamefanikiwa kupunguza idadi ya ...

Read More »

Huyu ndio Messi Ndani ya Maisha yake ya Soka

Mashabiki wa soka duniani walisherehekea mwezi huu wa Septemba, mwaka huu miaka 18 ya kung’ara kwa miongoni mwa mastraika hatari duniani, Lionel Messi, ambaye jina la utani ni `La Pulga’. Messi alitinga kwenye medani ya soka Septemba 17, mwaka 2000, akiwa na umri wa miaka 13, ambapo alitoka kwao Rosario, Argentina na kujiunga na kituo cha kulelea yosso cha La ...

Read More »

Simba Yapitisha Majina ya Wagombea Uongozi

Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba chini ya Mwenyekiti wake, Boniface Lyamwike, imeweka wazi majina ya waliopita kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa klabu hiyo ambapo wagombea wawili wameondolewa kati ya 21 waliochukua fomu. Taarifa ya kamati hiyo imewataja waliopitishwa katika nafasi ya Uenyekiti ni wale wale wawili waliochukua fomu ambao ni Swedy Mkwabi na Mtemi Ramadhani. Katika nafasi ya ...

Read More »

Yanga Yaendele kujiweka Fiti kwa Ajili Yeyote atakeyekuja Mbele

Na George Mganga Klabu ya Yanga imeendelea na mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida United utakaopigwa Uwanja wa Taifa mwishoni mwa wiki hii. Yanga imezidi kujifua chini ya Kocha wake Mkuu, Mkongomani Mwinyi Zahera ambaye amekuwa mbogo kwa wachezaji wasio na nidhamu baada ya kuanza kuwaondoa kambini kila wanapochelewa kuripoti. Kwa mujibu wa Mwenyekiti ...

Read More »

Haji Manara Waangukia Mashabiki wa Simba

Baada ya kuambulia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Mbao FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa CCM Kirumba, jijini Mwanza, uongozi wa klabu ya Simba umewaomba radhi mashabiki wake. Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ameibuka na kuomba radhi wa wapenzi, mashabiki na wanachama wa timu hiyo kwa namna walivyoyapokea matokeo hayo ya kusitikisha kwao yaliyosababisha kupoteza alama ...

Read More »

SIMBA YAWEKA REKODI NYINGINE

Klabu ya Simba imeendelea kuweka rekodi kwa msimu wa pili mfululizo kuwa ni timu ya kwanza kwa kutoa mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Bara. Msimu huu mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda Meddie Kagere ndiye alikuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti msimu huu baada ya kucheza michezo mwili. Msimu wa uliopita Simba ndiyo ilifungulia kwa kutoa mchezaji bora ...

Read More »

KOCHA CHELSEA AWATAJA WAFUNGA MABAO BORA LIGI KUU ENGLAND

Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard anaweza kufunga mabao 40 msimu huu na kujishindia tuzo ya mfungaji mabao bora Ligi ya Premia, kwa mujibu wa meneja wa klabu hiyo Maurizio Sarri. Kwa mujibu wa BBC, Hazard alifunga mabao matatu dhidi ya Cardiff Jumamosi na kuwawezesha The Blues kupata ushindi wa 4-1. Kufikia sasa amefunga mabao matano katika mechi tano zilizochezwa, moja ...

Read More »

Emmanuel Amunike Aenda Mapumzikoni Hispania

Baada ya kuingoza Taifa Stars kwenda suluhu ya kutofungana na Uganda The Cranes katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza AFCON 2019, Kocha Emmanuel Amunike amekwea pipa kuelekea Hispania. Amunike ameondoka nchini na shirika la ndege ‘Qatar Airways’ kuelekea nchini huko kwa mapumziko kabla ya kurejea tena Tanzania kwa kuanza maandalizi ya kuiandaa Stars kuelekea mechi dhidi ya Cape Verde. Kocha ...

Read More »

Ndanda Fc Yaikazia Simba

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamelazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya wenyeji wake, Ndanda FC. Hii ni sare ya kwanza kwa Simba baada ya ushindi mara tatu mfululizo. Simba walishambulia mara nyingi zaidi lakini Ndanda wakiwa nyumbani Nangwanda Sijaona walikuwa makini huku wakifanya mashambulizi ya kushitukiza. Washambuliaji wa wawili tegemeo wa Simba, Meddy Kagere na Emmanuel Okwi ...

Read More »

Mechi 8 Mfululizo Yanga kucheza ndani ya Jiji la Dar es Salaam

Ratiba ya mechi 11 za Yanga zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara. Ratiba hii inaonesha Yanga watakuwa na jumla ya mechi 7 nyumbani na 4 ugenini. Yanga SC vs Stand United Yanga SC vs Coastal Union Yanga SC vs Singida United JKT Tanzania vs Yanga SC Simba SC vs Yanga SC Yanga SC vs Mbao FC Yanga SC vs Alliance ...

Read More »

LEO NDIYO SIKU YA MWISHO KUCHUKUA FOMU, SIMBA WATOA TAMKO

Uongozi wa Simba umesema leo ndiyo siku ya mwisho kwa wanachama wa timu hiyo kuchukua fomu kwa ajili uya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa klabu, Haji Manara, amewasihi wanachama wa klbu kujitokeza leo Jumatatu ili kuhakikisha wanapata haki yao kikatiba. Aidha Manara amewataka wanachama kuitumia Jumatatu ya leo vizuri kwa ajili ya kuchua fomu ...

Read More »

Baba wa Manyika JR Aelezea Sakata la Mwanaye

Peter ambaye ni baba mzanzi wa Peter Manyika, amefunguka kuhusiana na sakata la mtoto wake kujiengua kwenye timu ya Singida United akieleza kutolipwa stahiki zake. Peter amesema kuwa ni kweli mtoto wake ameshaondoka SIngida na sasa yupo katika kituo cha soka anachokimiliki jijini Dar es Salaam akijifua kulinda kiwango chake. Mzee huyo ameeleza kuwa ni kweli Singida hawajamlipa stahiki zake ...

Read More »

Ratiba Taifa Stars balaa

NA MICHAEL SARUNGI Mabadiliko ya ratiba yanayofanywa kila mara na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ni miongoni mwa changamoto zilizoshindikana kupatiwa ufumbuzi huku klabu zikiendelea kuumia kwa kulazimishwa kuandaa bajeti ya ziada. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, makocha na wadau wa michezo nchini wamesema hali hiyo imekuwa ikizilazimu klabu kuwa ...

Read More »

LIVERPOOL YAZIDI KUFANYA MAAJABU EPL, YAITWANGA LEICESTER 2-1

Kikosi cha Liverpool kimeendelea kuonesha dhamira ya kukirejesha kikombe cha Ligi Kuu England kwa kuicharaza Leicester City mabao 2-1 ikiwa kwao. Mabao ya Liverpool yamepachikwa kimiani na Sadio Mane mnamo dakika ya 10 pamoja na Robert Firmino katika dakika ya 45. Bao pekee la Leicester limewekwa nyavuni na Rachid Gezzal kwenye dakika ya 63 na likiwa la kwanza kwa kipia ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons