Ngumi

Muhammad Ali; Bondia aliyetikisa dunia

Muhammad Ali (74), bingwa wa zamani wa dunia wa ngumi za uzani wa juu na mmoja kati ya wanamasumbwi bora zaidi duniani, aliyefariki katika Hospitali ya Phoenix Area, Arizona, nchini Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita. Bondia huyo aliyetamba katika miaka ya 1960 mpaka 1980 alipoamua kujiuzuru, atakumbukwa daima kwa mchango wake mkubwa katika mchezo huo. Mwanamichezo huyo wa masumbwi, alijulikana ...

Read More »

Ya TFF na Mayweather

Ilikuwa ni mkesha wa hiari kusubiri pambano la masumbwi kati ya Mmarekani Floyd Mayweather na Manny Pacquiao lililoacha gumzo kwenye ulingo mmoja maarufu pale Las Vegas, Marekani. Wapo waliolala kwa mang’ang’amu kusubiri pambano hilo na wengine kukesha. Kulikuwa na mabishano makubwa na timu ziliundwa kama kawaida. Wabongo kila jambo linaundiwa timu hata kama si la kihasimu. Kitu kilichoniacha hoi ni ...

Read More »

Snake Junior ndio kama mlivyosikia

Wakati mashabiki wa ngumi wakisubiri pambano la kukata na shoka kati ya mabondia mahiri duniani, Manny ‘Pacman’ Pacquiao na Floyd Mayweather, mambo yamekuwa mabaya kwa bondia kinda wa Tanzania, Mohammed ‘Snake Jr’ Matumla. Snake Junior-mtoto wa bondia mahiri wa zamani wa Tanzania, Rashid ‘Snakeman’ Matumla, alikuwa na ahadi ya kucheza pambano la utangulizi katika uliongo ulipangwa kutumiwa na akina Pacman ...

Read More »

Wasanii wa ‘Bongo’ wanavyotumia vibaya mitandao ya kijamii

Kuna wakati nilikuwa najaribu kuangalia stahili ya maisha ya baadhi ya wasanii wa muziki kutoka katika nchi nyingine. Lengo langu lilikuwa ni kuangalia na kutafuta chanzo cha wasanii wetu kufanya mambo ambayo ni kinyume na maisha ya kibongo.

Read More »

Dogo Aslay afurahia maisha ya muziki

Staa wa Bongo katika muziki wa kizazi kipya Aslay Isiaka, ‘Dogo Asley’ ambaye makazi yake ni jijini Dar es Salaam amesema kuwa sasa anfurahia maisha ya muziki kutokana na maendeleo aliyoyapata.

Read More »

Madee – Nidhamu siri ya mafanikio

Msanii maarufu wa wa muziki nchini, Hamad Ally, maarufu kama  ‘Madee’  (pichani) kutoka katika kundi la Tip Top Connection la Manzese, jijini Dar es Salaam,  amesema kuwa siri ya mafanikio yake katika muziki ni nidhamu.

Read More »

Mayweather avuna Sh bilioni 67 kwa dakika 36

Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather (36) atalipwa dola milioni 41.5 za Marekani (Sh bilioni 67.23), baada ya kumshinda Saul ‘Canelo’ Alvarez (23). Hili ni pambano la 45 kwa Mayweather akiwa ameshinda yote.

Read More »

Armstrong kurejesha medali IOC

Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) inamsubiri mwendesha baiskeli wa Marekani aliyepatikana na hatia ya kutumia dawa za kuongeza nguvu mwilini, Lance Armstrong, arejeshe medali ya shaba aliyoshinda kwenye mashindano ya Olimpiki ya mjini Sydney, mwaka 2000, amesema Mkuu wa Tume ya Sheria ya IOC.

Read More »

Amogolas afurahia maisha mapya

Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Hamis Kiyumbi ‘Amogolas’ ambaye kwa sasa ameachana na bendi yake ya zamani ya African Stars Twanga Pepeta, amesema anafurahia maisha ya kuanza kufanya muziki wa kujitegemea.

Read More »

Mshiriki Big Brother akiri kubwia ‘unga’

Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika mashindano ya Big Brother Afrika mwaka huu, Huddah Monroe, amekanusha tuhuma dhidi yake kwamba ana Virusi vya Ukimwi kutokana na mwili wake kupungua kupita kiasi.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons