Mloganzila yajipanga kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza kwa watumishi wake

Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imezindua Mloganzila Afya Jogging Club kwa lengo la kuhamasisha watumishi kufanya mazoezi ili kuimarisha afya zao na kukabiliana na magonjwa yasiyo ambukiza. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Club hiyo kwa niaba ya Naiba Mkurugenzi Mtandaji, Mkurugenzi Msaidia wa Rasilimali Watu na Utawala Bw. Abdalla Kiwanga amesema kuwa lengo la klabu…

Read More

JK awapongeza Ali Kiba,Mbwana Samatta, awapa ushauri

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewapongeza mwanasoka wa kulipwa wa kimataifa Mbwana Samatta na mwanamuziki nyota Ali Kiba kwa kuanzisha na kuendesha taasisi isiyo ya kiserikali ya SAMAKIBA Foundation ambayo kila mwaka imekuwa ikisaidia masuala mbalimbali katika jamii. Dkt.Kikwete ametoa pongezi hizo katika hafla ya kukabidhi vifaa vya uzazi…

Read More