Siasa

KUNA MAMBO PAUL MAKONDA ANAPATIA

Naungana na Watanzania wote kutoa pole kwa familia ya Komredi Kingunge Ngombale-Mwiru, kutokana na kifo cha mwamba huo wa siasa katika Taifa letu. Mzee Kingunge atakumbukwa kwa umahiri wake wa kujenga hoja na weledi aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hata akaweza kuwa lulu na moja ya injini muhimu katika ustawi wa Taifa letu. Bahati mbaya watu wa aina yake wanapofariki dunia ...

Read More »

Chama cha Siasa ni Umoja

Wapo wanasiasa nchini ambao wamezua mtindo wa kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kujiunga na chama kingine. Na wakati mwingine wamekuwa wakihama kwenda chama kingine, lakini baadaye wakirudi katika chama cha awali. Sababu zinazoelezwa kuhusiana na hatua hiyo ni za kisiasa, kijamii na kiuchumi zikijikita katika hoja kama vile kukerwa na utendaji dhaifu wa shughuli za chama na ndipo ...

Read More »

Chama cha Siasa ni Umoja

Wapo wanasiasa nchini ambao wamezua mtindo wa kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kujiunga na chama kingine. Na wakati mwingine wamekuwa wakihama kwenda chama kingine, lakini baadaye wakirudi katika chama cha awali. Sababu zinazoelezwa kuhusiana na hatua hiyo ni za kisiasa, kijamii na kiuchumi zikijikita katika hoja kama vile kukerwa na utendaji dhaifu wa shughuli za chama na ndipo ...

Read More »

Tusifanye Makosa Kurejea Kwenye Chama Kimoja  

Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wimbi kubwa la madiwani na wabunge wanaovihama vyama vyao. Walianza madiwani watano wa Arumeru Mashariki, wakafuata wenzao mkoani Kilimanjaro, kisha ikawa zamu ya wengine watatu wa Manispaa ya Iringa. Hawa wote walikuwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Baada ya hapo wimbi la madiwani kuvihama vyama vyao limeendelea, na kabla halijatulia, ikawa zamu ya ...

Read More »

Serikali isifumbie macho wawekezaji hawa

Katika Gazeti letu la JAMHURI, toleo la wiki iliyopita na wiki hii tumeripoti kwa kina habari ya uchunguzi kuhusu mwekezaji wa kampuni ya utafutaji wa mafuta na gesi, kusini mwa Ziwa Tanganyika, kutoa chanjo kwa wafanyakazi wake isiyotumika nchini. Chanjo hiyo ya Typhoid ilitolewa na Kampuni ya Beach Petroleum  inayomilikiwa na mwekezaji kutoka nchini Australia kwa nyakati tofauti Novemba na ...

Read More »

Tunalaani usambazaji wa picha chafu

Mchuano wa kuwania uwakilishi wa kwenye uchaguzi wa rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) unazidi kushika kasi. Wagombea zaidi ya 30; kila mmoja anajitahidi kutumia mbinu, ama halali, au haramu, kutafuta kuungwa mkono. Kwenye mpambano huu kumeonekana mambo ambayo tunaamini tunapaswa kuwa sehemu ya wanaoyapinga. Baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya jamii vimechapisha picha zisizofaa za Makongoro Nyerere. ...

Read More »

Katika hili, tunaiomba Serikali itumie busara

Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT) kimeunda timu maalum itakayokwenda bungeni Dodoma, kuwashawishi wabunge wasiupitishe muswada wa Sheria wa Vyombo vya Habari baada ya kubaini umejaa kasoro. Muswada huo ulioandaliwa na Serikali, ulitakiwa kuwasilishwa katika kikao kilichopita kwa hati ya dharura, jambo ambalo halikuwezekana, baada ya kupingwa na wadau na baadhi ya wabunge. Hata hivyo, muswada huo uliorejeshwa ...

Read More »

Uamuzi wa kinafiki unaimaliza CCM

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC-CCM), mwishoni mwa wiki iliyopita, imetangaza rasmi kumalizika kwa adhabu dhidi ya wanachama wake sita waliodaiwa kufanya kampeni za urais kabla ya wakati.  Uamuzi huo wa Kamati Kuu ya chama hicho ulitolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ...

Read More »

Kweli Afrika Kusini wamesahau fadhila?

Moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili katika toleo lililopita ilihusu tamko la Mfalme wa Kwa Zulu Natal, Goodwill Zwelethini, aliyechanganya mambo.   Mfalme Zwelethini anatajwa kuwa nyuma ya vurugu zilizotikisa Afrika Kusini wiki kadhaa zilizopita, ambako aliwaambia wananchi, “Wageni (xenophobia) ni lazima waondoke Afrika Kusini.”   Japo kuna wakati alibadili kauli yake baada ya bila shaka alipokutana na kikwazo ...

Read More »

Tuweke kando Katiba Inayopendekezwa

Tanzania ni kisiwa cha amani. Kauli hii imezungumzwa mara nyingi na kuwabwetesha Watanzania. Nchi kwa sasa ina mtihani mgumu. Kuna mtihani wa Uchaguzi Mkuu, unaopaswa kufanyika Oktoba, mwaka huu na Katiba Inayopendekezwa inayodhaniwa kuwa kura ya maoni itafanyika Julai, mwaka huu. Tunadhani kura ya maoni kwa Katiba Inayopendekezwa itafanyika Julai kutokana na maelezo ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya ...

Read More »

Tusipuuze taarifa hizi

Katika moja ya habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili ni taarifa za tishio la ugaidi zinazotolewa na moja ya makundi ya kigaidi linalojihusisha ushambuliaji. Wiki mbili zilizopita, magaidi wa al-Shabaab walifanya shambulio kubwa la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garisa, mpakani mwa Kenya na Somalia. Watu 148 waliuawa katika shambulio hilo. Kadhalika, hivi karibuni kikundi cha kigaidi cha Boko Haram cha ...

Read More »

Bunge linaloendeshwa kwa udini ni hatari

Katika gazeti hili la JAMHURI toleo lililopita lilikuwa na habari yenye kichwa “Udini wapasua Bunge” kutokana na hali iliyojitokeza katika kikao cha Bunge siku ya Alhamisi iliyopita, ambako mgawanyiko wa kidini miongoni mwa wabunge ulijitokeza.   Siku hiyo wakati akiahirisha kikao cha asubuhi, Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, alitoa tangazo lenye kuashiria mgawanyiko wa kidini kwa kutangaza kwa kuwapo ...

Read More »

Wanaowalinda wageni haramu wachukuliwe hatua

Katika gazeti letu la JAMHURI toleo la wiki iliyopita, tulichapisha habari ya uchunguzi iliyokuwa ikimhusu raia wa Pakistan, Ajaz Ahmed, mfanyabiashara haramu ya kuuza binadamu aliyefukuzwa nchini na kurejea tena kwa jeuri akiendelea na biashara hiyo. Ahmed alifukuzwa nchini Oktoba 29, 2014 kwa kupewa amri ya PI (Prohibited Immigrant) na Idara ya Uhamiaji nchini, huku akiondolewa kwa ulinzi mkali na ...

Read More »

Wavamizi wa ardhi wasifumbiwe macho

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kubomoa nyumba ambazo zimejengwa kwenye maeneo ya wazi na viwanja vilivyovyamiwa na watu wasio wamiliki halali wa viwanja hivyo.

Read More »

Wavamizi wa maeneo ya wazi waadabishwe

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kwa kushirikiana na viongozi waadilifu katika Jiji la Dar es Salaam, wamelikomboa eneo la wazi lililovamiwa na mfanyabiashara na kujengwa jengo la biashara.

Read More »

Wabunge msiwaangushe Watanzania

Kwa mara nyingine, wiki hii Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanakabiliwa na mtihani wa kuthibitisha kama kweli ni wawakilishi halali wa Watanzania, au la!

Read More »

Biashara ya dawa za kulevya ikomeshwe kwa vitendo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, amesema Serikali inafanya uchunguzi ili kujiridhisha kama watu 19 waliokamatwa nchini China na dawa za kulevya ni Watanzania.

Read More »

Rais chukua hatua, nchi inamalizwa

Watu wengi wameshtushwa na habari kwamba Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imetumia Sh bilioni tisa kwa ajili ya posho kwa kikao cha wafanyakazi wa Mamlaka hiyo.

Read More »

Serikali ilipe madeni mifuko ya jamii

Hivi karibuni Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Jamii (SSRA) iliwekwa ‘kitimoto’ na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyo chini ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na makamu wake, Deo Filikunjombe wa Ludewa.

Read More »

Tuwe makini kuelimisha wananchi Katiba Mpya

Tayari Bunge Maalumu la Katiba limepitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

Rasimu hiyo iko tayari kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura baada ya kupata akidi ya theluthi mbili iliyotakiwa kisheria kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani.

Read More »

Wanaoiponda UDA wamekosa uzalendo

Tumetafakari kwa kina juu ya taarifa zinazolaumu “Serikali kubariki ufisadi wa UDA.” Lawama hizo hutolewa na Watanzania wachache sana wanaopinga Kampuni ya wazawa ya Simon Group kuuziwa hisa za UDA.

Hoja za msingi malalamiko hayo ni kwamba Simon Group haikufuata taratibu na sheria, na pia kwamba haikuzingatia thamani halisi ya shirika hilo. Tunachofahamu sisi kwa sasa ni kwamba uuzwaji huo uko sahihi na hakuna kinachoweza kubadilika, kwani taratibu na sheria zote zilizingatiwa kikamilifu wakati wa uuzaji wa hisa za UDA kwa Simon Group.  

Read More »

Ahsante TMF, Kazi ipo kwetu

  Miongoni mwa habari zilizopamba gazeti hili leo ni taarifa ya Mfuko wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), kutoa ruzuku ya Sh. bilioni 1.7 kwa vyombo vya habari 16.Awali ya yote tunaupongeza mfuko huo kwa namna inavyoratibu shughuli zake na kuendeleza vyombo vya habari na wanataaluma wake.Tunasema hayo hasa tukisukumwa na yale aliyozungumza Mkurugenzi wa TMF, Ernest Sungura.Kwenye hafla ya ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons