Wananchi ndilo jeshi muhimu mapambano ya corona

Moja ya mijadala iliyotawala kwenye mitandao ya kijamii wiki iliyopita ni hatua ya Rais Dk. John Magufuli kuwaalika Ikulu baadhi ya viongozi wa upinzani na kufanya nao mazungumzo.  Ukiacha mazungumzo hayo, mvuto pia ulikuwa katika picha za video zilizosambazwa na Ikulu zikionyesha Magufuli akisalimiana au kuagana na viongozi hao kwa mtindo wa kutoshikana mikono, wakipigisha…

Read More

Kilwa hawakujenga mabondeni, wasaidiwe

Zimepita wiki kadhaa sasa tangu ziwepo taarifa za mafuriko makubwa kuvikumba baadhi ya vijiji katika Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi. Ukiacha watu 14 ambao waliripotiwa kufariki dunia, watu wengine zaidi ya 15,000 waliathiriwa na mafuriko hayo. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, amenukuliwa akieleza kuwa maelfu ya wakazi wa vijiji hivyo wameachwa bila makazi…

Read More

Utumishi wa umma usigeuzwe adhabu

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma (TAMISEMI), imetangaza kuzuia safari za watumishi wa umma katika ofisi za mikoa, wilaya na mamlaka za Serikali za Mitaa kusafiri nje ya vituo vyao vya kazi. Sababu kuu iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu wa TAMISEMI ni kuwa watumishi hao wamekuwa wakitumia muda mrefu kusafiri nje ya…

Read More

Nini kimeikumba Stamico?

Wakati ikielezwa kuwa madini ni moja ya sekta ambazo zimewezesha kupatikana kwa mapinduzi ya uchumi nchini, taasisi muhimu inayoshughulikia sekta hiyo, Shirika la Madini la Taifa (Stamico) inaelezwa kuwa liko hoi kifedha. Wakati Benki Kuu (BoT) ikieleza kupitia ripoti yake ya hali ya uchumi kwa mwezi Novemba mwaka jana kuwa madini (dhahabu) inaongoza katika kulipatia…

Read More

Kunahitajika mfumo mpya kudhibiti manabii, mitume

Tumeuanza mwaka kwa bahati mbaya. Watanzania zaidi ya 40 wamefariki dunia katika matukio mawili makubwa. Tukio la kwanza ni la vifo vya Watanzania 20 mkoani Lindi vilivyosababishwa na mafuriko. Tukio la pili ni la vifo vya Watanzania wengine kwa idadi kama hiyo vilivyosababishwa na kile kinachodaiwa kuwa ni ‘upako’ mjini Moshi.  Tunawapa pole wote waliofiwa…

Read More