Wananchi washirikishwe kutoa maoni miaka 60 ya Uhuru wetu
Serikali imetangaza utaratibu katika kuelekea kwenye kilele cha sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) ifikapo Desemba 9, mwaka huu. Tunaupongeza utaratibu wa wizara kujitokeza kuainisha mafanikio ya kisekta yaliyopatikana kwa muda wote huu wa miongo sita. Hii ni hatua nzuri, maana inasaidia kuwafanya Watanzania vijana ambao ndio walio wengi, kufahamu tulikotoka,…