JAMHURI YA WAUNGWANA

‘Nchi yetu haina dini’

Nchi yetu haina dini. Haya ni maneno maarufu katika masikio ya Watanzania. Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere enzi za uhai wake maneno haya aliyasema mara kwa mara. Katika moja ya hotuba zake, alisema: “Siku moja nikiwa Zanzibar, kuna masheikh, wamevalia baragashia, nikawa nimealikwa kama mgeni rasmi. Nilipowaona wale masheikh nikasema hapa nitarudia ile ile… nikasema, nchi ...

Read More »

NGOs za wanafiki na ziwatetee Wakenya hawa!

Asasi za kiraia (NGOs) zinazojihusisha na masuala ya wafugaji katika Wilaya ya Ngorongoro, hasa Loliondo, zinajua kwamba uhuni na ghiliba zake sasa zinaelekea ukingoni.  Kwa miaka mingi zimetumia umaskini wa ndugu zetu Wamaasai kama kitegauchumi kikuu cha kuomba na kupokea fedha kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi.  Hivi karibuni kumekuwapo mkakati maalum unaofanywa na wenye NGOs kadhaa ...

Read More »

Kova anawaogopa bodaboda, ataweza uchaguzi?

Wiki iliyopita nimezungumzia hali ya kisiasa katika Jimbo la Lindi Mjini. Nimeeleza katika usuli kuwa hilo la Mama Salma Kikwete kudaiwa kulitaka jimbo hilo ni moja kati ya mambo niliyokutana nayo katika safari ndefu ya kilomita 4,500 niliyozunguka nchi nzima.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons