Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11

Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.

Read More

Washington: Utumwa unanik

“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”

Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.

****

Read More

Quotes

Washington: Utumwa unanikera

Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.   Hebu tuikumbuke dhana ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwamba ili nchi iendelee, inahitaji Ardhi, Watu, Siasa…

Read More