Siasa

Tusisukumwe na hoja za kisiasa kujitoa EAC

 

Katika dunia yetu ya leo ya utandawazi, suala la nchi yoyote duniani kubaki kama kisiwa halipo kabisa. Maendeleo katika  teknologia ya mawasiliano yameifanya dunia yetu igeuke kuwa kijiji kimoja.

Read More »

FASIHI FASAHA

Vyama vya upinzani ni vichanga? -3

Katika sehemu ya pili ya makala haya wiki iliyopita, nilizungumza kuanzishwa vyama vingi vya siasa na malengo yao. Pia niligusia kauli iliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, wakati wa Uchaguzi Mkuu 1995 kuhusu uwezo wa vyama vya upinzani kushinda katika chaguzi kuu za mwaka 1995 hadi 2010. Leo tunaendelea…

Read More »

FIKRA YA HEKIMA

Bunge likipata Lugola 10 litainyoosha Serikali yetu

Ninatamani kuona siku moja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linafanikiwa kuwa na angalau wabunge 10 aina ya Alphaxard Kangi Ndege Lugola, ambao watatosha kuinyoosha Serikali yetu.

Read More »

MAANDIKO YA MWALIMU NYERERE

 

Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (5)

Huu ni mtiririko wa maandishi yaliyomo kwenye kitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania kilichoandikwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwaka 1994. Sehemu iliyopita, Mwalimu alisema, “Ni vigumu kuelewa kwa nini watu walio tayari kuwabebesha wananchi mzigo wa SeIikali tatu za kudumu, wanahofu gharama za kura ya maoni ya mara moja! Na kama viongozi wetu ni wapumbavu kiasi cha kwamba hawawezi kutunga swali “Je, unataka Serikali tatu?” Au “Je, unataka Serikali ya Tanganyika?” Kazi hiyo wangeweza kuwaachia wataalamu wenye uwezo zaidi.” Endelea…..

Kwa kutambua kwamba Bunge linafanya uamuzi yake kwa njia ya kura baada ya mijadala ya wazi, Serikali iliona kwamba hoja yoyote kati ya hizi ingewasilishwa bungeni, ingeweza kuligawa Bunge, kukigawa chama chetu na kuwagawa wananchi katika suala zito kama hili la Muundo wa Muungano.

Read More »

Serikali sikivu inafitiniana, inafitinika

Utawala wa Serikali sikivu chini ya  chama tawala unaendelea kuwadhihirishia Watanzania kuwa umefitinika na sasa kila kiongozi  anadunda na lake na kauli zake na maagizo yake, bila kujali kuwa  uamuzi wao kwa upande mwingine unawaumiza Watanzania ambao kila siku wamekuwa wanasifiwa kuwa Serikali yao sikivu inawasikia.

Read More »

Manyerere fahamu kuwa majaji wanapendelewa, sisi mahakimu tumetupwa

Habari kaka Jackton,

Nimebahatika kusoma makala yako katika Gazeti la JAMHURI toleo Na. 106 la tarehe 22 hadi 28 Oktoba. Makala hayo yana kichwa cha habari “Rais dikteta atatutoa hapa tulipo”. Katika makala hiyo umeitendea haki heading yako na nakupongeza kwa hilo.

Read More »

Kamati ya Bunge kuamua hatma ya Pinda

Mara kwa mara Bunge linapounda kamati teule na ripoti yake kusomwa bungeni, zimekuwa zikisababisha kuondoka madarakani kwa watendaji mbalimbali.

Read More »

Yah: Sasa naomba kura zenu rasmi 2015

Nilikuwa nimekaa natafakari katika kipindi hiki chote cha maisha yangu, ni lini naweza nikajitoa kwa ajili ya Taifa langu, lakini pia nikajiuliza nitaanzia wapi?

Read More »

Wizara ya  Elimu imekosa viongozi wazalendo

Katika toleo la Gazeti la JAMHURI la Oktoba 29-Novemba 4 mwaka huu, Jenster Elizabert wa Mwanza amenipongeza kwa kupigania elimu bora Tanzania kwa njia za makala zinazozungumzia masuala mbalimbali ya elimu.

Read More »

SMZ yaigeuza Pemba Ulaya ndogo

Wakazi wa kisiwa kidogo cha Kokota katika Wilaya ya Wete kisiwani Pemba, wameishukuru Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa kushirikiana na washirika wa maendeleo kuwatatulia kero zilizokuwa zikiwakabili kwa muda mrefu.

Read More »

Kinachonifanya nimpende Lowassa ni hiki

Wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, tayari yanasemwa mambo mengi kuhusu ni nani atakayekuwa mrithi wa nafasi ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Read More »

“Hii kwetu ni kama kinyume kabisa, nitakuwaje na sahihi ya jiji na TABOA, bila kuwa na sahihi ya mwajiri wangu?  TABOA inamtambua mwenye basi na mimi natambuliwa na mwenye basi ambaye ni mwajiri wangu, kwahiyo naona si sahihi kuwa na kitambulisho ambacho

“Hii kwetu ni kama kinyume kabisa, nitakuwaje na sahihi ya jiji na TABOA, bila kuwa na sahihi ya mwajiri wangu?  TABOA inamtambua mwenye basi na mimi natambuliwa na mwenye basi ambaye ni mwajiri wangu, kwahiyo naona si sahihi kuwa na kitambulisho ambacho hakina sahihi ya mwajiri wangu,” kilisema chanzo cha habari.

Ukikamatwa faini Sh 50,000

Kumekuwa na taratibu za kukamatwa kwa vijana wale wote ambao hawana vibali maalum. Baada ya kukamatwa watuhumiwa wamekuwa wakitakiwa kulipa faini ya Sh 50,000, ambayo kwa kwa namna moja ama nyingine haifahamiki kama ni dhamana au adhabu.

Read More »

FIKRA YA HEKIMA

Kwa hili, Lema amempiku Zitto

shabiki wa soka kuliko michezo mingine kwa muda mrefu. Kama Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, wangekuwa timu mbili za soka zinazopepetana, safari hii ningemshangilia Lema.

Read More »

FASIHI FASAHA

 

Vyama vya upinzani ni vichanga? -2

sehemu ya kwanza ya makala haya, wiki iliyopita nilizungumzia chimbuko la vyama vingi vya siasa kabla na baada ya Tanzania  kuwa huru. Leo tunaendelea na sehemu ya pili.

 

Baada ya vyama vya TANU na ASP kuwa imara katika harakati za kudai uhuru, vyama vingine vingi vilianzishwa vikiwa na malengo ama vya kudai uhuru au kupinga harakati za kupigania uhuru na kuendeleza maslahi ya wakoloni kwa mfano, Kule Zanzibar vyama kama Zanzibar and Pemba People Party ZPPP, Umma Party vilianzishwa.

Read More »

MAANDIKO YA MWALIMU NYERERE

 

Uongozi Wetu na  Hatima ya Tanzania (4)

Huu ni mtiririko wa maandishi yaliyomo kwenye kitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania kilichoandikwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwaka 1994. Sehemu iliyopita, Mwalimu alisema, “Kwa kweli hata kesho Nchi za Afrika ya Mashariki zikiamua kuungana, na Tanzania ikawa ni mshiriki, naamini kuwa ni rahisi zaidi kushirikisha Tanzania yenye Serikali Mbili - ya Zanzibar na ya Tanganyika - kuliko Tanzania yenye Serikali Mbili, ya Tanzania na ya Zanzibar. Wapendao Utanganyika watakuwa wazalendo zaidi, badala ya kuwa wasaliti, wakiazimia Afrika ya Mashariki iliyoungana kuwa Nchi Moja, kuliko Tanzania iliyotengana ikawa nchi mbili.” Endelea…..

Siku ya pili yake tarehe 15:8:1993, Wabunge wenye hoja yao, na wengine zaidi, waliomba tena kuja Msasani ‘Tunywe chai’. Na baada ya mazungumzo nao ilikuwa ni dhahiri kabisa kwangu, kwamba hata kama hawakuondoa hoja yao, (wala mimi sikuwaomba waiondoe), wataitumia kutoa dukuduku zao tu; hawataitumia kung’ang’ania kudai Serikali ya Tanganyika.

Read More »

JK onesha urais na usiwe mrahisi

Napenda kuchukua fursa hii kumpa pole Rais Jakaya Kikwete kwa majukumu mazito yanayomkabili kwenye uendeshaji wa Serikali, kutokana na mikinzano na vitisho anavyopata kutoka kwa baadhi ya wabunge na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Read More »

BARUA ZA WASOMAJi

Pongezi za dhati kwa Mzee  Halimoja

Ndugu Mhariri,

Sina budi kutoa pongezi za dhati kwa Mzee Yusufu Halimoja kwa kazi nzuri sana ya kuendelea kutetea bila kuchoka uboreshaji wa elimu nchini.

Read More »

Kajubi: Waandishi tukizingatia maadili magazeti hayatafungiwa

Oktoba 25, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, katika mkutano wa mwaka wa tafakuri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), alitoa hotuba elekezi kama ifuatavyo:

Asalaam aleykum!

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetujaalia afya na kutuwezesha kufika hapa Iringa salama kwa ajili ya mkutano huu muhimu wa tafakuri. Ni jambo la furaha pale wahariri mnapoweza kukutana kwa wingi kiasi hiki maana sote tunajua jinsi asili ya kazi yetu inavyotubana hivyo kwamba kuonana tukiwa katika vituo vyetu vya kazi si jambo rahisi, kwani kila mmoja muda wake ni adimu mno, kila mmoja anakimbizana na deadlines pamoja na headlines! Fursa hii basi ni adhimu sana, na kwa hilo namshukuru Mwenyezi Mungu.

Read More »

JAMHURI YA WAUNGWANA

Sisi tunaona ya kipuuzi, wenzetu wanayachukua

Kazi ya uandishi haina tofauti na kazi inayofanywa na makasisi na masheikh. Tangu nimeanza kushiriki ibada, nimeyasikia maneno yale yale yakirejewa makanisani, na kwa kweli ni hayo hayo yanayorejewa misikitini, na kadhalika.

Read More »

FIKRA YA HEKIMA

Bravo Kikwete, lakini agizo lako lisilenge mahindi, Njombe pekee

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, anastahili pongezi kutokana na hatua yake ya kutengua msimamo wa muda mrefu wa Serikali kuwazuia wakulima kuuza mahindi nje ya nchi.

Read More »

FASIHI FASAHA

Vyama vya upinzani bado ni vichanga? (1)

Mara kwa mara Watanzania huzungumzia juu ya vyama vya siasa, hasa vyama wanavyoviita vyama vya upinzani au vya ukingani. Mazungumzo hayo ni kuhusu sababu za kuanzishwa, shughuli zinazofanywa na malengo ya vyama hivyo.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons