Kiburi chanzo cha ajali

Ajali ya gari iliyoua watu 23 papo hapo na kujeruhi wengine 34, imeongeza maumivu mengine kwa Watanzania ambako sasa takwimu zinaonesha zaidi ya abiria 1,000 wamepoteza maisha. Ajali iliyotokea usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita ilihusisha basi la Kampuni ya Another G kugongana na lori eneo la Kinyanambo A, Mafinga wilayani Mufindi, ikiwa ni takribani miezi…

Read More

Kampuni yatelekeza minara ya simu

Minara 292 ya mawasiliano iliyojengwa na Kampuni ya Simu ya Excellentcom Tanzania mwaka 2008, imetelekezwa bila kutoa huduma yoyote, JAMHURI linaripoti. Baada ya kuitelekeza kwenye viwanja ambavyo baadhi vina makazi ya wamiliki wa ardhi hiyo, kumefanya kampuni hiyo sasa kudaiwa mamilioni ya shilingi ya kodi za pango la eneo. Kampuni ya Excellentcom Tanzania Limited ilisajiliwa…

Read More

Ngeleja anaamini katika haya

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, ameahidi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba endapo atafanikiwa kuteuliwa na chama chake na baadaye kuchaguliwa na Watanzania, kazi itakayokuwa mbele yake ni kuhakikisha uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja unakua. Katika mahojiano kati yake na mwandishi wa makala hii yaliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Ngeleja anasema; “Hicho…

Read More

Vijana wapewe nafasi Uchaguzi Mkuu (2)

Taifa linatarajia mabadiliko makubwa katika uchaguzi wa mwaka huu! Gazeti la Mwananchi Toleo No. 5419 la Jumatano Mei 27, 2015 uk. 33 limeelezea hoja zinazojitokeza kuhusu umri wa wagombea.  “HOJA ZA UJANA, UZEE katika vuta nikuvute uongozi wa Tanzania” habari kamili iliandikwa katika uk.  wa 36. Hapa ingefaa tuone busara za uongozi uliopita ulitathmini namna…

Read More

Shwekelela: Nikiwa mbunge Kyerwa itaendelea

Homa ya uchaguzi imeikumba wilaya mpya ya Kyerwa, ambapo sasa Pancrace Shwekelela anasema “wakati ukifika nitatangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kyerwa baada ya kushawishiwa na watu, vikundi na marafiki zangu.” Jimbo la Kyerwa kwa sasa linashikiliwa na Eustace Katagira (CCM). Amekuwa mbunge wa Kyerwa kwa miaka 10. Katagira alilikomboa Jimbo hili kutoka…

Read More