Siasa

KAULI ZA WASOMAJI

Serikali isiwadhulumu wastaafu

Ukweli ni kwamba ni laana kubwa kwa Serikali kudhulumu malipo ya fedha za wazee wastaafu, walioitumikia nchi hii katika nyanja mbalimbali.

Msomaji

* **

Read More »

NUKUU ZA WIKI

Nyerere: Umaskini wa fikra mbaya sana

“Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo (fikra), ni umaskini mbaya sana. Mtu mwenye akili akikwambia neno la kipumbavu ukalikubali, anakudharau.”

Maneno haya ni ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

***

Read More »

Lissu: Tume ya Katiba ni ulaji

*Asema wanatumbua fedha, watengewa fungu la Ukimwi

Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wa Wizara ya Katiba na Sheria, Tundu Lissu, wiki iliyopita aliwasilisha bungeni maoni ya Kambi hiyo, na kueleza namna Tume ya Mabadiliko ya Katiba inavyofuja fedha.

Read More »

Bima: Mahakama imechukua milion 826

Shirika la Bima la Taifa (NIC) limetoa ufafanuzi wa malipo ya Sh milioni 826 kwa mdai wake, S & C Ginning Co. Limited. Mkurugenzi Mtendaji wa NIC, Justine Mwandu, amesema katika majibu ya maandishi kwa Gazeti la JAMHURI kuwa wamelipa fedha hizo kutekeleza amri halali ya Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara.

Read More »

Bunge lisifanyie mzaha matumizi ya fedha za rada

Nianze kwa kuwaomba kila mbunge anayetambua kuwa amechaguliwa na wanyonge na maskini wa Tanzania ili atetee maslahi yao na ya watoto wao, asome kwa makini makala haya kisha achukue hatua.

Read More »

Je, Mkristo akichinja ni haramu?-5

Wiki iliyopita tulikuletea sehemu ya nne ya makala haya yanayohoji usahihi juu ya nani anastahili kuchinja. Leo tunakuletea sehemu ya tano na ya mwisho ya makala haya. Endelea….

Ndivyo itakavyokuwa hata kwenye kitoweo kingine na serikali itakusanya kodi zake kwa uwazi zaidi kuliko ilivyo sasa ambapo huenda wengine wanachinjia nyumbani kwao kwa siri halafu wanapeleka maeneo ya biashara na  kuikosesha kodi serikali.

Read More »

Sisi Waafrika weusi tukoje? (4)

Nchini mwetu, licha ya kilio cha Baba wa Taifa kuacha ufahari na matumizi ya magari makubwa, lakini ukienda Mbezi Beach, au Jangwani Beach, au hata hapo Oysterbay, mtu unashangazwa na mijumba mikubwa ya watumishi wa umma yanavyoumuka kama uyoga vile.

Read More »

NUKUU ZA WIKI

Nyerere: Moyo wa kujitolea umefifia

“Moyo wa kujitolea umefifia mno. Katika hali kama hiyo ni vigumu sana kuwapata viongozi wenye moyo wa kuwatumikia wenzao.”

Mameno haya ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Read More »

Utalii uzalishe ajira kwa wananchi

Sekta ya utalii inatajwa kuwa ya pili katika kuchangia pato la Taifa kutokana na fedha za kigeni, lakini pia  ina fursa nyingi zinazoweza kuzalisha ajira kwa watu wanaozunguka maeneo husika.

Read More »

Serikali za Mitaa zimeshindwa kazi?

Tumesikia habari za Serikali za Mitaa. Wakati nchi yetu ilipokuwa chini ya Mjerumani hakukuwa na Serikali za Mitaa. Kulikuwa na Serikali Kuu tu ambayo ni Serikali moja ya nchi nzima.

Read More »

Je, Mkristo akichinja ni haramu? – 4

Wiki iliyopita tulikuletea sehemu ya tatu ya makala haya. Leo tunakuletea sehemu ya nne. Endelea…

Moja ya madai ya Waislamu ni kwamba wao mbali ya kumwelekeza Qibla mnyama anayechinjwa, lakini pia ni lazima atajiwe jina la Mwenyezi Mungu.

Read More »

NUKUU ZA WIKI

Nyerere: Chama hakitakiwi kufanya kazi za Serikali “Katika aina yoyote ya utawala wa kidemokrasia, Chama kinachoshika Serikali, hakitakiwi kufanya kazi za Serikali, na haifai kifanye vitendo kana kwamba ndicho Serikali.” Haya ni maneno ya Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.   Mbowe: Spika analigeuza Bunge taasisi ya CCM “Tutaliheshimu Bunge kama taasisi huru, lakini si lilivyo sasa kama ...

Read More »

Je, Mkristo akichinja ni haramu? – 3

Wiki iliyopita makala haya yaliishia Mbunge Hafidh Ali Tahir, alipoiomba Serikali kuweka utaratibu wa kuchinja. Je, unajua majibu aliyotoa waziri? Endelea…

Read More »

Sisi Waafrika weusi tukoje? (2)

Ndugu yangu Bundara anasema kwamba Waafrika waliiga matumizi ya Kizungu vizuri zaidi kuliko walivyoiga mbinu za Wazungu za uzalishaji. Ndiyo kusema tulitamani sana tabia na desturi za Wazungu angalau nasi tukubalike kama ni watu kama wao.  Tulitaka tunukie Uzungu.

Read More »

Kila Mtanzania atahiniwe

Kupata sifuri kwa asilimia 60 ya wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana, kusitufanye kushangaa kwamba watu hao wakoje. Kila mtu mzima wa Taifa hili ajiruhusu kusailiwa kuhusu yafuatayo:-

Read More »

Wizara imegeuza shule za umma dampo la vitabu vibovu

Bunge la Uingereza kulipata kuwa na Mbunge aliyeitwa William Wilberforce. Kila aliposimama bungeni kuzungumza, alidai kuwa utumwa ukomeshwe. Ndipo sheria ya kukomesha utumwa katika makoloni ya Uingereza ikapitishwa mwaka 1807.

Read More »

Miaka 49 ya Muungano, kero 13 zisizotatulika

Aprili 26, ni siku ya maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe za maadhimisho haya zitafanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Saalam.

Sherehe hizo zinafanyika kukiwa na maswali kutoka kwa wananchi wa pande zote mbili, yanayohusu kero zinazoukabili Muungano huo.

Read More »

Diplomasia na gharama ya kusubiri

Nilipowapokea vijana kadhaa wa Kitanzania hapa London, miaka karibu mitano iliyopita, mmoja wao alikuwa amesomea diplomasia.

Read More »

NUKUU ZA WIKI

Nyerere: Kiongozi hang’ang’anii ofisini

“Tuna viongozi wachache sana kwa maana halisi ya neno ‘kiongozi’, yaani ‘mwonyesha njia’. Huwezi kuonyesha njia kwa kung’ang’ania ofisini.”

 

Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyasema haya katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa, Agosti 16, 1990, jijini Dar es Salaam.

Read More »

NUKUU ZA WIKI

Nyerere: Napenda vyama viwili vya kijamaa “Mimi binafsi nitafurahi sana kuona Tanzania nayo ikiwa na vyama viwili vya kijamaa; na ikakataa kabisa kabisa kuweka vyombo vyake vya ulinzi na usalama mikononi mwa wapiganaji wa siasa hiyo.”   Baba wa Taifa na Rais wa Awamu ya Kwanza Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyasema haya katika Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha ...

Read More »

Je, Mkristo akichinja ni haramu?-2

Wiki iliyopita, tulichapisha sehemu ya kwanza ya makala haya yenye kufafanua tatizo linaloendelea hapa nchini juu ya haki ya kuchinja. Ifuatayo ni sehemu ya pili ya mfululizo wa makala hizi. Wapo walioahidi kuandika makala za kuhalalisha msimamo wa sasa wa kuchinja baada ya kusoma makala haya, tunatarajia yakitufikia tu, nayo tutayachapisha kwa nia ya kuongeza uelewa. Endelea…

Read More »

ARV bandia: Serikali itoe taarifa sahihi

Taarifa za karibuni zinaonesha kwamba watu 5,358 wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) waliokuwa kwenye matibabu, wameacha kutumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa huo (ARVs), mkoani Dodoma.

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons