Uraia siyo uzalendo (2)

  Katika toleo lililopita niliishia kuchambua maneno ya mwanzo yaliyokuwamo kwenye Katiba Tanganyika ya 1961 mara baada ya Uhuru.   Maneno ya utangulizi kutoka kwa Mwalimu Nyerere yaliyosomeka hivi: namnukuu, “In particular I trust that the young will take particular note of the preamble, where they will find those high ideals by which one country…

Read More