Membe alivyopokewa na Ukoo wa Nyerere Burito
Wanaukoo wa Burito ambao ndiyo chimbuko la ukoo wa Chifu Nyerere Burito, hivi karibuni ulifanya Mkutano Mkuu wa Ukoo wa mwaka 2015. Mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi. Kulikuwa na wageni waalikwa wengi, akiwamo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Haikushangaza kumuona Membe kijijini…