Loliondo Yametimia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza kumaliza mgogoro wa matumizi ya Pori Tengefu la Loliondo (LGCA) ambao umedumu kwa takriban miaka 26. Desemba 6, mwaka huu, Waziri Mkuu alitangaza msimamo wa Serikali kuhusu eneo hilo kupitia kikao alichokiitisha ofisini kwake Mlimwa, Manispaa ya Dodoma ili kutoa mrejesho uliofikiwa na Serikali kuhusu utatuzi wa mgogoro huo baada…

Read More

Bandari Kwafukuta

*Mkurugenzi wa Ulinzi asimamishwa kazi kimyakimya *Timu aliyounda Rais Magufuli yaendelea na upekuzi *Wasiwasi watanda kwa watumishi, wafanyabiashara *Mjumbe wa Bodi ataka NASACO irejeshewe udhibiti Na Waandishi Wetu Kuna kila dalili kuwa hali ya hewa imechafuka tena katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), baada ya Rais John Magufuli kuvamia na kubaini magari 52…

Read More

Barua ya kiuchumi kwa Magufuli

Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, nakusalimu kwa salamu za heshima. Salamu hizi zinakujia kutoka kwangu mwananchi mwaminifu kwa nchi yangu ambaye nimeamua kukupa mkono wa shirika katika eneo la kuujenga uchumi. Baada ya salamu hizo ninatumia mwanya huu kukupongeza kwa kufanikiwa kupenya na hatimaye kuwa Rais, katika uchaguzi…

Read More

Soko linahitaji misuli kupambana

Nimekuwa nikipata mgogoro wa ndani kila ninapohudhuria promosheni za bidhaa mbalimbali, ninaposoma ama kutazama matangazo ya kibiashara katika vyombo mbalimbali vya habari na vile vinavyotumika kimatangazo. Kwenye nyingi ya bidhaa, promosheni ama matangazo hayo huwa ninakutana na taswira pamoja na maneno yenye mbinu za  kimasoko ambavyo vina mushkeli.  Bidhaa hizo huambatana na maneno kama, ‘Nunua…

Read More