Mila za Wazanaki: Mwitongo na Muhunda

Baada ya makala ya juma lililopita juu ya lugha ya Kizanaki, naendeleza makala inayofafanua mila na tamaduni za kabila la Wazanaki. Eneo la Butiama linalojulikana kama “Mwitongo” linatokana na neno la Kizanaki lenye kumaanisha “mahame”, eneo ambalo lilikuwa na wakazi ambao walihamia sehemu nyingine. Kwa desturi chanzo kikuu kilichosababisha watu kuhama eneo moja kilikuwa kifo…

Read More

Nguvu ya mawazo katika mafanikio kiuchumi

Kila kitu kinachoonekana duniani kilianza na mawazo. Mawazo ndiyo kiwanda kikubwa cha uumbaji wote unaoonekana duniani. Hata katika vitabu vya dini tunaelezwa kuwa Mungu aliamua (Mawazo) kuumba mbingu na nchi. Ninaposoma Biblia kuhusu habari hizi za uumbaji wa Mungu, kuna kitu huwa najifunza kwa namna ambavyo Mungu aliumba mbingu na nchi. Kimsingi Mungu aliamua kuumba…

Read More

Bandari Bagamoyo, kifo cha Bandari Dar

Imenichukua miaka miwili kufikiri juu ya hiki kinachoitwa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Ujenzi huu ulianza kutajwa mwaka 2010, na ilipofika Machi 2013, Rais wa China, Xi Jinping, akatia saini mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo. Mkataba ukasema bayana kuwa ujenzi huu utatengewa dola bilioni 10. Nilisubiri kusikia Watanzania wanasema nini, ila muda wote naona…

Read More

JK iwezeshe NEC, ikifika Oktoba uende Msoga

Imenichukua takribani wiki mbili kutafakari kauli ya Mwenyekiti wa NLD, Dk. Emmanuel Makaidi, ambaye ni miongoni mwa wenyekiti wenza wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).   Katika mkutano na waandishi wa habari, Dk Makaidi akiwa na wenzake, alidai kwamba “Oooh kuna mipango ya kumfanya Rais Kikwete akae madarakani mpaka mwaka…

Read More

Wachina wamkunja Meya Dar

Kampuni ya Ujenzi ya Tanpile Ltd ya China inalalamikiwa na wananchi waishio katikati ya Jiji la Dar es Salaam kwa uchafuzi wa mazingira na kelele usiku kucha, zinazosababisha washindwe kupumzika, JAMHURI inaripoti. Kampuni hiyo licha ya kupewa amri ya Mahakama (stop order) kusitisha shughuli zake za uchanganyaji wa zege katika kiwanda chake kilichofunguliwa katika makutano…

Read More

Jimbo la Kiteto lawaniwa na watano

Jumla ya watu watano wametajwa kuwania Jimbo la Kiteto lililopo mkoani Manyara, kumrithi Mbunge Benedict ole Nangoro (CCM), anayemaliza muda wake mwaka huu. Waliotajwa kutaka kuingia katika kinyang’anyiro hicho ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Emmanuel Papian, Amina Saidi Mrisho (CCM), anayefanya kazi Tume ya Takwimu Taifa, Jonathan Kilani, mwanachama kutoka Chadema, na…

Read More