Kesi kubwa ya ‘unga’ yatajwa Dar

*Ni ya Mama Lela aliyetajwa na Rais Obama

Kesi ya mtuhumiwa mkubwa wa dawa za kulevya duniani aliyekamatwa eneo la Mbezi jijini Dar es Salaam imetajwa wiki hii.

JAMHURI ilipata taarifa kutoka Mahakama Kuu kuwa kesi hii, inahusisha watuhumiwa wanane akiwamo Mtanzania Mwanaidi R. Mfundo. Pia nchini Kenya na Marekani anafahamika kwa jina la Naima Mohamed Nyakiniywa au Naima Nyakinywa, maarufu Mama Lela huko Mbezi, jijini Dar es Salaam akiwa pamoja na Wakenya saba, imetajwa jana Mahakama Kuu.

Read More

Sheria, rushwa vinakwaza udhibiti dawa za kulevya

* DCC yataka zitangazwe kuwa adui namba moja * Serikali yataka sheria mpya, mahakama maalum Mapambano dhidi ya dawa za kulevya bado yana safari ndefu hapa Tanzania kutokana na kusongwa na vikwazo lukuki vikiwamo vya sheria dhaifu, ukosefu wa sera ya Taifa ya udhibiti na kuendekezwa kwa vitendo vya rushwa katika vyombo vya dola.  …

Read More

Ni chongo au kengeza?

Kuna msemo wa Kiswahili usemao ‘akipenda chongo huita kengeza’. Nimetoa msemo huu kwa nia njema tu ya kutaka kuangalia matukio kadhaa ya vurugu au ghasia, yanayotokea mara kwa mara hapa nchini na kusababisha baadhi ya watu wanaokuwa maeneo ya matukio kuumia, kujeruhiwa na wengine kupoteza maisha yao.