Katiba 2025 itamke kama ni Ujamaa au la!

BAGAMOYO Na Marie binti Shaba Katika hotuba yake kwa taifa kupitia wanawake, Rais Samia Suluhu Hassan, aligusia mambo yaliyojaa busara. Binafsi niliguswa na mbinu aliyoitumia kuelezea kwamba binadamu wote tuna nguvu sawa mithili ya pande mbili za sarafu moja.  Samia alifafanua kwamba Mwenyezi Mungu ametupa nguvu mbalimbali na zote ni nzito. Mwanamume anabeba mizigo, anajenga…

Read More