EU yaridhishwa na utekelezaji miradi

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Umoja wa Ulaya (EU) umeridhishwa na hatua iliyofikiwa ya utekelezaji wa mradi wa kilimo wa AGRI-CONNECT inaoufadhili. Huu ni mradi ulioanzishwa mwaka 2020, unaolenga kusaidia kukuza kilimo katika mikoa sita ya Tanzania Bara na Zanzibar, ambapo EU imetoa Euro milioni 100 sawa na zaidi ya Sh bilioni 250 za Tanzania….

Read More

Watano wafariki kwa virusi vya Marburg Kagera

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Watu watano wamefariki kwa ugonjwa ujulikanao kwa jina la Marburg mkoani Kagera huku watatu wakiendelea kupatiwa matibabu katika vituo maalum vilivyojengwaBukoba Vijijini mkoani Kagera. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema uchunguzi uliofanywa na maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii umethibitisha uwepo wa virusi hivyo na kwa mujibu wa Shirika la Afya…

Read More

Safari ya Dkt.Samia na mapinduzi makubwa kwenye sekta ya elimu Kibaha Mji

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriKMedia,Kibaha Ni takribani siku 730 zinazobeba Miezi 24 sawa na saa 17,520 ,sawa na miaka miwili ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kazini baada ya kifo cha Hayat Dkt.John Magufuli kututoka, na kuacha majonzi kwa Taifa ,kumpoteza Rais akiwa madarakani. Hii ni historia ambayo hatuitamani iliyotokea Machi 17,2021 ,licha ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakuwa…

Read More