Vijana na mapinduzi ya Tanzania – (2)
Narudia kutamka kwamba vijana ni nguvukazi mahali popote. Ni kundi kubwa kuliko la wazee katika kufanya kazi. Ni kundi jipya lenye fikra na mawazo mapya, fahamu pevu, imara na jasiri katika kupambana na vikwazo vya uchumi au mambo ya dunia. Ukombozi wa uchumi katika nchi yetu utapatikana kutoka kwa vijana wake walioelimika, walio wachapakazi, na…