Bado pigo la uchumi
Kabla janga la homa ya corona kulipuka na kuwa balaa tunaloshuhudia, nilianza kuandika makala juu ya athari za awali kabisa za kiuchumi zilizojitokeza. Nikidhani wakati huo, tofauti na sasa, kwamba athari za kiuchumi zingekuwa kubwa kuliko zile za kiafya. Kinachotokea na kuwa duniani kote kipaumbele ni kuwakinga watu dhidi ya maambukizi. Tunalazimika kuokoa maisha yetu…