Serikali hyaimarisha huduma za matibabu ya moyo

Na Salome Majaliwa- JKCI Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Dkt. Peter Kisenge amehimiza kuimarisha ushirikiano kwa wafanyakazi wa taasisi hiyo ili waendelee kutoa huduma bora za matibabu kwa wagonjwa. Dkt. Kisenge ametoa rai hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha wafanyakazi kilichofanyika katika taasisi hiyo. Mkurugenzi huyo Mtendaji…

Read More

Hiki ndicho kinacholitesa taifa letu

Katika miaka 61 ya Uhuru, kinachoitesa Tanzania ni kukosa dira. Awali, falsafa ya TANU na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ilikuwa kuondoa maovu yote yaliyotokana na ukoloni na kuwafanya wananchi kujenga uchumi usio tegemezi. Katika utawala wa kikoloni, Mswahili alikuwa raia wa daraja la tatu na alitendwa…

Read More