Nyumbani kuna kasoro gani?

“Kauli yako utoayo mitaani, inanifikia nduguyo Ingawa unafikiri sikufahamu, unitetayo sikia Nakuonya uongo mbona haithamini elewa Unajitangaza u-mtenda mema, mengi kujisifia ya uongo, Watoto wamekukimbia nyumbani, umebaki na wajukuu pia watasambaa. Iliyobaki nitamuliza shemeji, kuna kasoro gani hapo nyumbani. -Aaah!  Aaah ! Pole mzee. Watoto wanakimbia nini huko nyumbani? -Jirekebishe na waliosalia, pole mzee -Nitamuliza…

Read More

Yah: Misukosuko ya kisiasa nchini ni kama 1953

Kuna wakati ambao ninawaza mpaka kichwa kinataka kupasuka, si kwa sababu yanayoendelea siyajui, la hasha! Bali ni kwa sababu yanakwenda kasi mno na kuniacha nikiwa bado njia panda.  Maisha ni safari ndefu na ukibarikiwa umri mkubwa unafanikiwa kuyaona mengi na kuna wakati unatamani kutenda kama ambavyo akili inataka lakini mwili unakataa. Miaka ya mwanzoni, wakati…

Read More

KIJANA WA MAARIFA (14)

Amini kile unachotaka kukifanya na ukifanye Imani ni msingi wa mafanikio ya kitu chochote. Muda wowote unapotaka kuanza kufanya kitu iruhusu imani itembee mbele yako, kwani kuamini kwamba unaweza kufanya jambo fulani ni kama garimoshi lililoingia kwenye reli yake, lazima liifuate. Yeyote unayemuona kama mfano wa kuigwa kwenye jamii yako si kwamba hakukumbana na changamoto…

Read More

Uamuzi wa Busara (13)

Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi wananchi wanavyojitetea kwa kupigana lakini wanakwamishwa na ukosefu wa silaha za kisasa na ukosefu wa umoja miongoni mwao wenyewe. Hali hiyo inaelezwa kutokea baada ya mkoloni kuvamia nchi mpya na kujitwalia madaraka ya siasa na kuubadili utaratibu. Leo ni mwendelezo wa pale tulipoishia wiki…

Read More