Makala

Madaktari Bingwa Dar watoa masharti magumu

Hili ni tamko la madaktari bingwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hawa wanahusisha hospitali za umma za Muhimbili (MNH), MOI, Ocean Road na Hospitali za manispaa katika mkoa huo.

 

Read More »

Tamko ya Bodi ya Wadhamini MNH

Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ilikutana tarehe 28 Juni 2012 kujadili na kutathmini hali ya utendaji na utoaji wa huduma hivi sasa katika hospitali.

 

Read More »

Vituko vya Jeshi la Polisi

*Lakodi kina mama ili wawapekue watuhumiwa   Kituo cha Polisi Mbuguni, Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kinalazimika kukodi wanawake wanaoishi jirani na kituo hicho ili kuwafanyia upekuzi watuhumiwa wanawake kabla ya kuwaweka mahabusu.   Kukodiwa kwa kina mama majirani kunatokana na kituo hicho kukosa askari polisi wanawake.   Hayo yamesema na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame ...

Read More »

Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba

*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika

*Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno

 

Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini.

 

Read More »

Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11

Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.

 

Read More »

Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?

 

Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.

Read More »

Washington: Utumwa unanik

 

“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”

Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.

****

Read More »

Quotes

Washington: Utumwa unanikera

“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”

Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.

****

Read More »

Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11

Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.   Hebu tuikumbuke dhana ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwamba ili nchi iendelee, inahitaji Ardhi, Watu, Siasa Safi na Uongozi Bora.   ...

Read More »

Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?

Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.

Read More »

Kero ya ombaomba wa London

Kwa asili nachukia kuomba bila sababu na nilijengewa tabia hiyo na wazazi waliotumia vyema nguvu zao kujitegemea na kututegemeza.

Read More »

Bajeti ni mfupa mgumu kwa wabunge wengi

Moja ya mambo yanayotafuna weledi wa wabunge wengi ni ‘imani kivuli za kisiasa’ walizonazo kuhusu uungwaji mkono wao. Kupitia imani za namna hii utaona mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anaamini kuwa wananchi wote wa jimbo lake ni wana-CCM, au mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anadhani kuwa wanajimbo wote ni wana-Chadema.

Read More »

Katiba Mpya Tanzania Mpya – 10

Mpendwa msomaji wa makala ya Katiba Mpya Tanzania Mpya, nilipoanza kuzungumzia uhuru wa kutoa maoni na suala la Muungano, nilianza kwa kufuatilia historia ya nchi yetu angalau kwa wale wasioijua historia ya Muungano ili wapate kuijua vizuri na kuona ni wapi tulitoka, tulipo na tunakoelekea, lakini pia si tu tunaelekea wapi bali tunaelekea wapi kwa namna gani.

Read More »

Michezo kikolezo cha ‘jeuri’ ya taifa

Nakumbuka mchakamchaka na mapigo ya bendi ya shule enzi za elimu ya msingi. Mwalimu wa michezo, mwalimu wa zamu na wengine waliokuwa wakipenda ukakamavu walikuwa mstari wa mbele kwenye shughuli hizo kabla ya kuingia darasani.

Read More »

Siku Ngeleja alipowavaa Mbowe, Zitto

Wiki iliyopita, Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), aliikosoa bajeti ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na kusema kuandaa bajeti ya nchi si sawa na kuandaa bajeti ya harusi.

Read More »

‘Turejeshe Ujamaa, ubepari tumeshindwa’

Mkutano wa Nane wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma, umekuwa na michango mingi na yenye mvuto kutoka kwa wabunge mbalimbali. Ifuatayo ni sehemu ya michango hiyo.

Read More »

Salaam za Maige kwa ‘waliomfitini’

*Aahidi kuendeleza mapambano bungeni

 

Hivi karibuni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige, alirejea jimboni na kupokewa na wapigakura wake na kisha akawaeleza kilichomfanya ang’olewe kwenye nafasi ya Waziri wa Maliasili na Utalii. Ifuatayo ni hotuba yake kwa wapigakura.

 

Read More »

Mzimu uliowanyoa mawaziri unahitaji tambiko Tanzania (3)

Wakati mawaziri walipobinywa kujiuzulu sikushangaa nilipomsikia mmoja wao, aking’aka mbele ya waandishi wa habari. Waziri huyo wa zamani alisema: “Nijiuzulu ili iwaje? Mimi siwezi kujiuzulu…” Pamoja na kujitetea kote na kurusha lawama kwa wasaidizi wake lakini panga la Rais halikumhurumia.

Read More »

La Waislamu Matinyi kapotosha

Katika Gazeti la JAMHURI la Jumanne Juni 12, 2012, kuna makala iliyoandikwa na Mobhare Matinyi akishutumu Waislamu kuhusiana  na madai yao mbalimbali, wanayoyalalamikia kila siku hapa Tanzania.

Read More »

Gerezani na vitu feki Uingereza

MIAKA ya 1990 baada ya kubahatika kununua kagari kangu mgongo wa chura, nilipitia machungu baada ya kuibiwa saiti mira. Nilijaribu kujiganga bila mafanikio, kwa sababu nilikuwa nimejikung’uta kila senti mfukoni nami niwe na gari na kuliweka barabarani kwa kujidai.

Read More »

Katiba Mpya, Tanzania Mpya

Mpendwa msomaji wa makala ya Katiba Mpya, Tanzania Mpya, wiki iliyopita nilianza kuzungumzia historia ya Muungano wetu, jinsi ulivyoanza kama fikra na utashi wa viongozi waasisi wa taifa letu la Tanzania.

 

Wakati haya yanatokea sikuwapo, lakini nafurahi kwa sababu nimeisoma vizuri historia ya nchi yangu. Historia inatueleza mambo mengi, na ni vyema hata kuujua mfumo wa Muungano tulionao ulitoka wapi na matatizo yalianzia wapi? 

Leo niendelee tulipoishia wiki iliyopita ili baadaye tupate kujibu swali la je, tunayo ya kujadili kuhusu Muungano? Kama tunayo, tuyajadili katika mtindo gani?

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons