Olduvai inajipanga vipi kutetea hadhi yake?
Uvumbuzi wa mabaki ya watu wa kale uliofanyika sehemu mbalimbali duniani unaweka rehani hadhi ya Bonde la Olduvai ambalo hadi hivi sasa ndilo eneo linalotambulika rasmi kama sehemu ambayo binadamu wa kwanza kabisa duniani aliishi. Licha ya kuweka rehani hadhi hiyo ya Olduvai, uvumbuzi huo pia umewaweka wachunguzi wa mambo ya kale katika sintofahamu kuhusu…