Demo Blog With Map

RUVU SHOOTING YAGOMA KUFUNGWA NA YANGA TAIFA

Ruvu Shooting imeilazimisha Yanga  sare ya mabao 2-2 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam Yanga walikuwa wa kwanza kujipatia bao katika dakika ya 19 ya mchezo kupitia kwa Matheo Anthony kabla ya Ruvu Shooting kusawazisha ikiwa ni dakika ya 30 kupitia kwa Khamis Mcha kwa njia ya penati baada ya beki Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kuushika mpira eneo la hatari. ...

Read More »

RC DKT. KEBWE AAGIZA WAHUJUMU MIUNDOMBINU YA MAJI GAIRO WAKAMATWE

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akipokea maelezo ya wizi wa pampu ya maji kutoka kwa mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Mchembe katika Kijiji cha Italagwe Kata ya Italagwe ili kuweza kuwalejeshea wanachi maji. Picha zote na Cathbert Kajuna – Kajunason/MMG-GAIRO.  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe amesema nashangaa kuona pamoja na ...

Read More »

WAZIRI MKUU AWAPOKEA WANACHAMA WAPYA 89 KUTOKA VYAMA VYA UPINZANI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama saba kutoka vyama vitatu vya upinzani ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) na wengine 82 kutoka Chama cha Wananchi (CUF) ambao walikuwa wapiga debe.   Wanachama hao wamepokelewa leo mchana (Ijumaa, Mei 25, 2018) wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua uwanja mpya wa michezo unaojengwa katika kijiji cha Dodoma, kata ya ...

Read More »

WAZIRI MKUU ASHIRIKI UJENZI WA UWANJA MPYA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na wananchi.   Waziri Mkuu ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, ameshiriki zoezi hilo leo (Ijumaa, Mei 25, 2018) kwenye uwanja huo unaojengwa katika kijiji cha Dodoma, kata ya Nachingwea, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi.   Akizungumza na wananchi na ...

Read More »

Waziri Mkuu Aonya wakulima wasiwauzie chomachoma, ataka wasubiri minada

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaonya wakulima wa ufuta wasikimbilie kuuza zao hilo kwa wanunuzi wasio rasmi maarufu kwa jina la chomachoma bali wasubiri minada itangazwe mwezi ujao.   “Ninawasihi msikubali kuuza kwa akina chomachoma bali tumieni Mfumo wa Stakabadhi za Mazao Ghalani, tumeona mfumo huu ulivyosaidia kwenye korosho,” amesema.   Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Ijumaa, Mei 25, 2018) ...

Read More »

Mwanamgambo aliyejaribu kumpindua Fidel Castro afariki

Luis Posada Carriles, mzaliwa wa Cuba na ajenti za zamani wa CIA ambaye alitumia miaka yake mingi akijaribu kuipindua serikali ya kikomunisti ya Cuba amefarikia huko Florida akiwa na miaka 90. Bw Posada Carriles alikuwa mmoja wa maadui wakubwa wa rais wa zamani wa Cuba Fidel Casto. Alishiriki katika uvamizi ulioungwa mkono na Marekani mwaka 1961 na analaumiwa kwa kuiangusha ...

Read More »

Korea Kaskazini Wamtusi Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence

Afisa wa cheo cha juu wa Korea Kaskazini amemlaumu Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence kwa kuwa “mjinga” na kuonya kuwa kutakuwa na maonyeshano ya ubabe wa nyuklia ikiwa mazungumzo yatafeli. Choe Son-hui alisema Pyongyang haitaweza kuibembeleza Marekani kwa mazungumzo. Siku za hivi karibuni pande hizo mbili zimeonya kuwa mkutano wa Juni 12 unaweza kuharishwa au kufutwa kabisa. Korea ...

Read More »

Magazetini Leo Alhamisi, Tarehe 24, Mei, 2018

Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania May 24 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.

Read More »

Joyce Msuya ateuliwa naibu katibu mkuu wa Shirika la Mazingira Duniani (UNEP)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemteua Mtanzania Joyce Msuya kuwa Naibu Katibu Mkuu na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la mazingira duniani, UNEP. Ofisi kuu za shirika hilo la UN lipo jijini Nairobi, Kenya. Bi Msuya atachukua nafasi ya Ibrahim Thiaw wa Mauritania, ambaye amemaliza muda wake wa kuhudumu. Hadi wakati wa kuteuliwa kwake Jumatatu, Bi Msuya ...

Read More »

ARSENAL WAPATA UDHAMINI RWANDA

RWANDA imeingia mkataba wa miaka mitatu na Arsenal ambapo kwenye mabega ya jezi zao kutakuwa na ujumbe wa ‘Visit Rwanda’. Ujumbe huo ambao unamaanisha tembelea Rwanda, utakuwa kwenye jezi za kikosi cha kwanza pamoja na timu ya vijana na ile ya wanawake ya klabu hiyo. Vinal Venkatesham, ambaye ni Ofisa Mkuu wa Biashara wa Arsenal amesema kwamba ; “Huu ni ...

Read More »

“DEAL DONE” MZEE WENGER AMKABIDHI RASMI MIKOBA UNAI EMERY

Unai Emery ametangazwa kuwa meneja mpya wa Arsenal na afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Ivan Gazidis. Bw Gazidis amesema Emery amepewa fursa ya kipekee ya kuongoza “sura mpya” yaklabu hiyo ya England. Emery, 46, amejiunga na Gunners baada ya kuondoka PSG ambapo aliwaongoza kushinda ligi kuu ya Ufaransa, Ligue 1. Mhispania huyo pia alishinda vikombe vya ligi mara nne ...

Read More »

RAIS WA GHANA ATOA AMRI YA KUKAMATWA KWA MWENYEKITI WA SHIRIKISHO LA SOKA LA GHANA

Rais wa Ghana Akufo-Addo amemrisha kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la kandanda la Ghana Kwesi Nyantekyi, ambaye pia ni makamu wa rais wa kwanza wa shirikisho la kandanda barani Afrika CAF. Hatua hiyo inafuatia makala moja ya uchunguzi ambayo inamhusisha Kwasi Nyantekyi na vitendo vya ulaghai. Inadaiwa kuwa alitumia jina la rais wakati akipanga na kutekeleza ulaghai huo. Uchunguzi huu uliofanywa ...

Read More »

RAIS DONALD TRUMP AHOFIA MKUTANO NA JONG-UN

Rais Trump ametilia shaka kufanyika mkutano adimu na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un mwezi june huko Singapore . Amesisitiza kuwa hata hivyo Korea kaskazini itapaswa kutimiza vigezo vilivyowekwa ambayo ni nadra kutokea. Korea Kaskazini ilikwisha sema kuwa inaweza kujiondoa katika mkutano huo iwapo Marekani inasisitiza suala la kuachana na mpango wa silaha za nyuklia. Rais Trump amezungumzia mkutano huo,mara ...

Read More »

Mstahiki Meya Wa Manispaa Ya Ubungo, Mhe Boniface Jacob, Aelezea Mipango wa Kuwawezesha, Wananchi wa Manispaa Ya Ubungo

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Mhe Boniface Jacob amefafanua kwa kina Miradi ya maendelea iliyoanzishwa, katika Manispaa yake. Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na mradi wa maendeleo kwa Wanawake na Vijana ambapo alisema mradi huo unaendelea vizuri hivyo amewataka vijana ambao ni wakazi wa Manispaa hiyo wajitokeze kuomba mikopo kwa sababu hadi sasa idadi ya waliojitokeza kuomba mikopo ni ...

Read More »

Unai Emery Kumrithi Mzee Wenger , Arsenal

Mtandao rasmi wa Unai Emery umeweka picha iliyo na ujumbe: “Nasikia fahari kuwa katika familia ya Arsenal.” Meneja huyo wa zamani wa Paris St-Germain manager anatarajiwa kuzinduliwa rasmi kama mrithi wa Arsene Wenger wiki hii. Klabu hiyo ya London bado haijathibitisha kuwa Emery ndiye kocha mpya. Lakini picha ya Emery iliyoambatana na ujumbe huo na nembo ya Arsenal iliwekwa kabla ...

Read More »

TAASISI YA UHUSIANO WA UMMA TANZANIA (PRST) KUADHIMISHA WIKI YA MAWASILIANO AFRIKA MEI 25, 2018 JIJINI DAR

Taasisi ya Uhusiano wa Umma Tanzania, (PRST) inatarajia kufanya maadhimisho ya wiki ya Mawasiliano Afrika, iliyoanza tokea Mei 21 na kilele chake kinatarajiwa kuwa Mei 25, 2018 na Tanzania watafanyia kwenye Ofisi ndogo ya Bunge iliyopo Posta Jijini Dar es Salaam.     Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu wa Chama hicho hapa Tanzania, Ndege Makura, amesema ...

Read More »

Saba Wafariki kwa kipindupindu Rukwa.

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amethibitisha kufariki kwa wagonjwa saba wa kipindupindu katika Wilaya ya Sumbawanga huku wagonjwa wengine 44 wakibaki wodini kuendelea kupatiwa matibabu na wagonjwa 115 wakiruhusiwa kurudi nyumbani. Amesema kuwa ugonjwa huo umelipuka tarehe 6 Mei, 2018 katika Kijiji cha Mayenje, kata ya Milepa katika bonde la ziwa Rukwa na kusambaa katika meneo mengine ...

Read More »

Uchochezi wa Oakland Institute na wenzake Loliondo

Hivi karibuni taasisi ya Oakland imetoa taarifa yenye kichwa cha habari: “Loosing the Serengeti: The Maasai land that was to run forever”, na kutangazwa na mashirika kadhaa ya habari ya kimataifa duniani kote. Serikari ya Tanzania imeshutumiwa kwa uongo kwamba inakandamiza haki za Wamaasai wanaoishi Wilaya ya Ngorongoro inayopakana na Hifadhi ya Taifa Serengeti. Taarifa hiyo inakwenda mbali zaidi na ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons