KitaifaSiasaESTER BULAYA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI DAR Jamhuri6 years ago6 years ago01 mins Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inamshikilia Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya baada ya kuripoti katika kituo kikuu cha Polisi na viongozi wenzake wa CHADEMA, kama walivyoamriwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Post Views: 13 Post navigation Previous: Tahadhari kwa Mikoa Hii Itakumbwa na Mvua KubwaNext: Mzee Jakaya Kikwete Akiwa Mlimani City Pamoja na Wajukuu Zake
Waziri Riziki : Wanawake Tanzania wamewezeshwa manunuzi ya umma kielektroniki Jamhuri2 days ago2 days ago 0
Mafanikio ya ziara ya Rais Samia aliyofanya Doha nchini Qatar na New Delhi India Jamhuri6 months ago6 months ago 0