Askari Polisi waliokutana na Kamanda Sirro wakimsikiliza kwa makini
Igp Sirro akiwaeleza mbinu mbalimbali wanapokabiliana na waharifu.

 

Mkuu wa Jeshi la Polisi Igp Simon Sirro, akizungumza na Askari wa Vikosi vya Mjini Magharibi, Kusini Unguja na Kaskazini Unguja jana alipokwenda kufanya mazungumzo ya kikazi na Maofisa na Askari Visiwani Unguja.
Igp Sirro aliwataka Askari Visiwani humo kuheshimu Wananchi wakiwa kwenye kazi zao ili kuendelea kuleta heshima ya Jeshi la Polisi.

By Jamhuri