Serikali yaja na mfumo kusaidia wahamaji walio katika mazingira hatarishi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Benki kuu ya Tanzania (BOT) kuzisimamia Taasisi za kifedha kwa upande wa mabenki kuboresha riba katika mikopo wanayoitoa. Akizungumza Leo,Agosti 3, 2023, katika banda la BoT mara baada ya kutembelea mabanda ya Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja…
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Serikali pamoja na wadau inaandaa mfumo wa rufaa kwa wahamaji walio katika mazingira hatarishi nchini utakaosaidia kutoa huduma kwa makundi maalum wakiwemo watoto. Hayo yamebainika wakati wa kikao kilichowakutanisha Wakurugenzi na Makamishna…
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha KATIBU Tawala wilaya ya Kibaha , mkoa wa Pwani, Moses Magogwa amewaasa wananchi kujiepusha na ukataji miti kiholela na badala yake wajenge tabia ya kupanda miti na kuitunza kwani ndio jawabu la kupambana na uharibifu wa mazingira. Ameeleza hayo wakati Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibaha kwa kushirikiana na…
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge ametoa rai kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba kufanyakazi kwa kuhakikisha yanatenda haki kwa wananchi kwani hakuna aliye juu ya sheria. Aidha ameeleza kuwepo kwa mabaraza hayo ni matarajio yake kuona migogoro ya ardhi inakwenda kupungua ama kumalizika na kubakia historia katika mkoa…
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chemba ya Biashara ,Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) imefanya ziara katika mikoa 14 na kubaini changamoto nane za wafanyabishara,wenye viwanda na wakulima na kushauri mamlaka husika kupita katika maeneno hayo na kufanya maboresho. Ziara hiyo imefanyika katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani , Lindi, Mtwara, Morogoro, Dodoma,…
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ameanza ujenzi wa viwanja vya michezo ya mpira wa kikapu (basketball), mpira wa pete (netball) na mpira wa wavu (volleyball) katika eneo la shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma. Ujenzi huu unatokana na ahadi ambayo aliitoa wakati wa mahafali ya wanafunzi wa kidato cha nne…
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amesema mradi wa Ujenzi wa Reli ya kati mpaka sasa umeshafika maeneo yote yanayopaswa kufikiwa. Majaliwa amesema hayo leo Machi 27, 2024 akihitimisha kampeni ya Kurasa 365 za mama katika ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam. Amesema, ‘tuna mradi mkubwa wa ujenzi wa reli ya kati ambao umeshafika kwenye…