Serikali yaja na mfumo kusaidia wahamaji walio katika mazingira hatarishi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Serikali pamoja na wadau inaandaa mfumo wa rufaa kwa wahamaji walio katika mazingira hatarishi nchini utakaosaidia kutoa huduma kwa makundi maalum wakiwemo watoto. Hayo yamebainika wakati wa kikao kilichowakutanisha Wakurugenzi na Makamishna…

Read More

Mabaraza ya Ardhi na nyumba yatende haki, kwani hakuna aliye juu ya sheria -RC Kunenge

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge ametoa rai kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba kufanyakazi kwa kuhakikisha yanatenda haki kwa wananchi kwani hakuna aliye juu ya sheria. Aidha ameeleza kuwepo kwa mabaraza hayo ni matarajio yake kuona migogoro ya ardhi inakwenda kupungua ama kumalizika na kubakia historia katika mkoa…

Read More