PURA yapongezwa usimamizi wa miradi ya CSR
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi DIWANI wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Hassan Swalehe…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Benki kuu ya Tanzania (BOT) kuzisimamia Taasisi za kifedha kwa upande wa mabenki kuboresha riba katika mikopo wanayoitoa. Akizungumza Leo,Agosti 3, 2023, katika banda la BoT mara baada ya kutembelea mabanda ya Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja…
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi DIWANI wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Hassan Swalehe Yusuph ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa usimamizi bora wa Miradi ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) iliyofanywa na kampuni zinazozalisha gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo. Yusuph ametoa pongezi hizo hivi karibuni wakati akizungumza…
Na Mwandishi wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam Ikiwa imesalia siku kadhaa kuelekea sikukuu ya Pasaka ambayo itaanza maadhimisho yake siku ya Ijumaa Kuu Machi 29, 2024 na baadae kufuatiwa na mkesha sikukuu yenyewe wananchi wameombwa kutoa taarifa za viashiria au dalili za kihalifu ili wahusika washughulikiwe mapema . Akizungumza leo Machi 28,2024 Kamanda wa Jeshi…
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Watu wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa ,katika ajali iliyohusisha magari matatu likiweno bus kampuni la abiria New Force,Sauli na lori la mafuta kuteketea kwa moto alfajir ya Machi 28 eneo la Ruvu, Mlandizi ,mkoani Pwani. Kati ya watano waliojeruhiwa ni pamoja na askari wawili wa Jeshi la Zimamoto…
Mwandishi Wetu Shahidi wa nne katika kesi ya kujeruhiinayomkabili mfanyakazi wa benki ya CRDB, Ibrahim Masahi, Careen Wiliam ameieleza mahakama kuwa mume wake Deogratus Minja wakati wanampeleka Hospitali ya Bochi aliwaeleza kuwa amejeruhiwa na jirani yake Masahi. Careen amedai hayo leo mbele ya Hakimu Mkazi, Amos Rweikiza wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es…
Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imesainia Mkataba wa Ushirikiano na Nchi ya Hungary katika sekta ya maji ili kubadilishana uzoefu wa teknolojia katika sekta hiyo. Akizungumza leo Machi 28,2024 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Janury Makamba amesema kwa miaka mingi nchi hiyo inaongoza kwa teknolojia ya juu…