Tanzania yasaini mkataba wa ushirikiano na Hungary kwenye sekta ya maji
Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imesainia Mkataba wa Ushirikiano na Nchi ya…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Benki kuu ya Tanzania (BOT) kuzisimamia Taasisi za kifedha kwa upande wa mabenki kuboresha riba katika mikopo wanayoitoa. Akizungumza Leo,Agosti 3, 2023, katika banda la BoT mara baada ya kutembelea mabanda ya Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa kwenye viwanja…
Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imesainia Mkataba wa Ushirikiano na Nchi ya Hungary katika sekta ya maji ili kubadilishana uzoefu wa teknolojia katika sekta hiyo. Akizungumza leo Machi 28,2024 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Janury Makamba amesema kwa miaka mingi nchi hiyo inaongoza kwa teknolojia ya juu…
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Media Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaongoza viongozi mbalimbali kwenye ibada maalum ya kumbukizi ya miaka 40 ya Hayati Edward Moringe Sokoine aliyekuwa Waziri Mkuu wa tatu wa Tanzania katika kipindi cha awamu ya Kwanza. Ibada hiyo itakayofanyika siku ya Ijumaa Aprili 12, 2024, saa 3:00…
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imefanya tathmini ya miradi 1,800 na kati ya miradi hiyo 171 yenye thamani ya Sh bilioni 143.3 ilibainika kuwa na utekelezaji hafifu na hivyo kuanzisha uchunguzi. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Salum Hamduni ameitaja miradi hiyo ilikuwa katika sekta ya ujenzi, fedha, maji , kilimo pamoja na majengo…
Na Byarugaba Innocent,JamhuriMedia, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Shemwelekwa amefanya kikao rasmi na watumishi kwa lengo la kufahamiana, kujitambulisha na kutoa mwelekeo kiutendaji. Dkt.Shemwelekwa aliyeteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe 13 Machi, 2024 kuwa Mkurugenzi wa Kibaha Mji amesifu mifumo mizuri iliyowekwa na watangulizi wake…
Na Helena Magabe, JamhuriMedia,Tarime Halmashauri ya Mji Tariime Kwa kushirikiana na Benki ya Equity wametoka semina fupi kwa vikundi mbalimbali vya huduma ndogo vilivyopo Tarime Mjini. Lengo la semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Blue Sky ni kuwajengea uwezo Wana vikundi juu ya kujitunzia akiba pamoja na kubaini changamoto wanazokabiliana nazo na namna…