Imebaki siku moja kuanza kwa Mashindano ya Kombe la dunia litakalo anza kule Urusi kesho Alhamisi tarehe 14 kati ya Wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia.
Timu zipo 32 ambazo ni hizi hapa

Kundi A:
Russia, Saudi Arabia, Egypt na Uruguay

Kundi B
Morocco, Iran, Portugal na Spain

Kundi C
France, Australia, Peru na Denmark

Kundi D
Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria

Kundi E
Costa Rica, Serbia, Brazil na Switzerland

Kundi F
Germany, Mexico, Sweden na South Korea

Kundi G
Belgium, Panama, Tunisia na England

Kundi H
Poland, Senegal, Colombia na Japan

Nchi gani unaipa nafasi ya kuwa Bingwa ?

1778 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!