Dakika ya 3: Simba wanapata kona ya pili

Dakika ya 4: azam wanakosa goli mpira wa kichwa unatoka juu ya lango la Simba

Dakika ya 6: Ofside upande wa simba mchezaji wa Azam emezidi

Dakika ya 8: mabao bado 0-0, Mpira ni mkali sana mpenzi mfuatiliaji

Dakika ya 11: Simba wanacheza faulo na mpira unapigwa na Azam

Dakika ya 13 : kona, azam wanapata kona ya kwanza.

Dakika ya 16: Simba wanapata kona na inachongwa na Kichuya

Dakika ya 20: Mabao bado 0-0, timu zinashambuliana zam kwa zam

Dakika ya 22: Simba wanapata kona na inapigwa ba kichuya

Dakika ya 25 shomari kapombe anakosa goli la wazi hapa

Dakika ya 28: simba walishambulia lango la Azam kama nyuki na Okwi anakosa goli mpenzi mfuatiliaji

Dakika ya 30: bado milango migumu

Dakika ya 33: Faulo kuelekeza langoni mwa Simba, Okwi anamkwatua mchezaji wa Azam

Dakika ya 36: Gooooooooo Simba wanaandika goli Ni yule yule Muenga Emanuel Okwiiiiii

Dakika ya  40: Simba 1 – Azam 0

Dakika ya 41: Faulo azam wanapata na mpira unababatizwa na mabeki wa simba

Dakika ya 44: Faulo kuelekeza lango la Azam, Shomari Kapombe anasukumwa hapa

Dakika 45 na zimeongezwa dakika 2 : Simba bado wanaongoza kwa 1 -0

Kipindi cha pili kimeanza Simba 1- Azam 0

Dakika ya 49: Azam wanakosa goli la wazi kabisa mpira unatoka njee

Dakika ya 50: Okwi anaonyeshwa kadi ya njano, Azam wanapata faulo

Dakika ya 56: Azam wanafanya mabadiliko, Kipagwile anatoka nafasi yake inachukuliwa na Salum sure Boy

Dakika ya 60: Simba bado wanaongoza kwa goli 1-0

Dakika ya 62: Mpira wa kurusha kuelekea Azam

Dakika ya 64: Okwi anafanyiwa faulo na Dumayo

Dakika ya 69: Simba wanafanya mabadiliko, mzamiru anaingia

Dakika ya 70: kipa wa Azam anaokoa mpira wa hatari ulipigwa na okwi na inakuwa kona

Dakika ya 71: Azam wanafanya mabadiliko

Dakika ya 73: Kichuya anapiga shotinlinatoka nje ya lango la Azam

Dakika ya 75: Simba wako mbele kwa goli 1

Dakika ya 80: Simba bado wako mbele kwa goli 1

Dakika ya 84: Simba wanafanya mabadiliko, Okwi anatoka na nafasi yake imechukuliwa na gyan

Dakika ya 85: Azam wanapata kona

Dakika ya 88: Simba bado wanaongoza 1-0

Dakika ya 91: Azam walishambulia goli la simba kama nyuki

Piiiiii mpira umekwisha Simba 1 Azam 0

Full Time Simba 1 – Azam 0

Simba wanakeep record ya kutokufungwa katika michezo yake Na inajikita kileleni kabisa sasa wanafika points 41

Sina la ziada, Asanteni kwa kutufatilia live

 

 

 

1432 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!