Mwili wa Msanii Agnes ‘Masogange’ Gerald unaagwa leo katika viwanja wa Leaders Club jijini na Dar es Salaam, na baada ya hapo utasafirishwa kwenye nyumbani kwao jijini Mbeya kwa ajili ya maziko.

Katika viwanja hivyo, watu mbalimbali wakiwemo wasanii wenzake, wanasiasa, ndugu zake, jamaa na marafiki wamefika kwa ajili ya kuaga mwili wa mpendwa wao.

1122 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!