Mtu na mpenzi wake , wakazi wa wilaya ya Igunga, Tabora wameng’atwa na fisi kichakani walipotaka kufanya Mapenzi.

katika tukio hilo mwanamke Mwajuma Masanja (37) Mkazi wa kijiji cha Iduguta , alifariki baada ya kushambuliwa viabaya na fisiw huyo huku mpenzi wake , Shija Maneno (35) Akijeruhiwa vibaya wakati akimuokoa mpenzi wake. #TanzaniaDaima

2600 Total Views 2 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!