Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kupitia kipeperusi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa wakihamasisha mpango wa Toto Afya kadi

Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akitoa elimu ya mpango wa Toto Afya kadi kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa waki hamasisha mpango wa Toto Afya kadi
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kushoto akimsikiliza kwa umakini mmoja wa wananchi waliotembelea banda lao kwenye viwanja vya Tangamano ambapo walikuwa wakihamasisha mpango wa Toto Afya kadi

Mmoja kati ya wakazi wa Jiji la Tanga katikati akimsikiliza kwa umakini afisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga kuhusu umuhimu wa mpango wa Toto Afya kadi
Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Sophia Shabani kulia akitoa elimu ya namna ya kujiunga na mpango wa Toto Afya kadi kwa watoto mkazi mmoja wa Jiji la Tanga ambaye aliwatembelea kwenye banda lao eneo la Tangamano
Sehemu ya wananchi wa Jiji la Tanga wakiingia kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakati mfuko huo ulipokuwa ukihamasisha umuhimu wa wazazi na walezi kuwaingiza watoto wao kwenye mpango wa Toto Afya Kadi ili waweze kunufaika na matibabu zoezi hilo lilifanyika kwenye viwanja vya Tangamano

1261 Total Views 1 Views Today
||||| 0 I Like It! |||||
Sambaza!