DAWASA yaendelea utoaji vifaa vya maunganisho Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la utoaji wa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya majisafi kwa wakazi wote wa maeneo ya Kiharaka, Kiembeni, Changuaela, Kerege, Kibosha, Mtambani na Kimele. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo Machi 25, 2024…