Nchimbi: Uwepo Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar umeondoa siasa za chuki, uhasama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK) ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu kuliko maslahi ya vyama vya siasa. Balozi Dk. Nchimbi ameongeza kusema kuwa uwepo wa Serikali hiyo Zanzibar…

Read More