‘Aliyeua’ mkewe mahakamani leo

Mfanyabiashara Khamis Lowongo (Meshack) mwenye umri wa miaka 38 anayetuhumiwa kumuua mke wake, Naomi Marijani, kwa kumchoma moto akitumia magunia mawili ya mkaa Kigamboni, jijini Dar es Salaam amekuwa na vituko mbalimbali kila afikapo mahakamani. Mtuhumiwa huyo kwa mara ya kwanza alikamatwa na Jeshi la Polisi baada ya Gazeti la JAMHURI Julai 16, mwaka huu…

Read More

Mimba za utotoni tishio Tarime/Rorya

Mimba za utotoni sasa zimekuwa tishio wilayani Tarime, mkoani Mara. Taarifa rasmi zinaonyesha kwamba katika kipindi cha Juni hadi Agosti mwaka huu wanafunzi 51 wanatajwa kupata mimba na kuathiri masomo yao. Akisoma taarifa ya wilaya hiyo, Kaimu Mkurugenzi, Silvanus Gwiboha, amesema kuanzia kipindi cha mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu jumla ya wasichana 51 wamepewa ujauzito na…

Read More

Raia wa Afrika Kusini atupwa jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemhukumu Christine Lindiwe ambaye ni raia wa Afrika Kusini kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria. Katika kesi namba 176 ya mwaka 2019, Lindiwe alisomewa shitaka la kuingia nchini kwa njia haramu, ambapo Agosti…

Read More

Wiki ya huzuni Afrika

Wiki iliyopita yamekuwapo matukio mengi, lakini kwa ngazi ya Bara la Afrika yaliyotawala ni vurugu za xenophobia nchini Afrika Kusini na kifo cha Baba wa Taifa la Zimbabwe, Robert Mugabe. Wageni kadhaa wanaofanya biashara zao nchini Afrika Kusini, hasa katika miji ya Johannesburg na Pretoria, wameuawa na wengine kujeruhiwa kwa kile kinachoonekana ni chuki ya…

Read More

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(34)‌

Niongee lini, ninyamaze lini?   Baada ya kuandika makala yenye kichwa kisemacho: “Ukiwa na ndoto usipige kelele, kaa kimya,” katika Gazeti la JAMHURI, Toleo Na. 411 la Agosti 13-19, 2019 nimepongezwa na wasomaji kwa kunipigia simu wakiniambia kuwa makala hiyo imegusa maisha yao na itawasaidia. Mmoja wao ambaye amekuwa mfuatiliaji mzuri wa makala za ‘Nina…

Read More

BURIANI ROBERT GABRIEL MUGABE

Mzalendo aliyesalitiwa na jumuiya ya kimataifa Tanzia kuhusu kifo cha mwanamapinduzi nguli wa Afrika, mpigania uhuru wa Zimbabwe na mwana wa Afrika, Robert Gabriel Mugabe, zilianza kusambaa Ijumaa ya Septemba 6, 2019. Salamu za rambirambi zilianza kumiminika kutoka kila kona ya dunia muda mfupi baadaye. Kwa upande wa Tanzania, ambako Mugabe alipachukulia kama nyumbani kwake,…

Read More