Yah: Sasa litolewe tamko

Naanza na salamu kama Mtanzania mwenye uzalendo.  Watu wengi hawaelewi maana halisi ya uzalendo. Inawezekana hata mimi nikawa miongoni mwao, kwa maana ya leo ambayo inazungumzwa na wanasiasa wengi vijana na walioibuka katika uwanja wa siasa kama sehemu ya ajira. Kwa ufupi sisi watu wa zamani tulitafsiri uzalendo kama upendo baina yetu kama taifa na…

Read More

Msondo Ngoma ilikotoka (1)

Baadhi ya watu inawezekana wakawa wamekwisha kusahau kwamba kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika zilikuwepo bendi nyingi lakini mara baada ya Uhuru kuliundwa bendi iliyopewa jina la NUTA Jazz. Mwaka huu inatimiza miaka 55 tangu ianzishwe mwaka 1964 katika Jiji la Dar es Salaam, ikiwa chini ya umiliki wa Jumuiya ya Wafanyakazi Tanzania (National…

Read More

Mitego kwa makocha wageni 2019/2020

Msimu mpya wa Ligi Kuu Bara umeanza hivi karibuni kwenye viwanja mbalimbali huku ukiwa na mvuto wa aina yake. Ndiyo msimu wa mwisho wenye timu 20, kwani kwa mujibu wa waandaaji, kuanzia msimu ujao timu hizo zitapungua kwa matakwa ya wadhamini. Msimu huu umeanza kwa matukio ya kushtua kwa vigogo wote watatu; ambapo Azam FC iliishinda…

Read More

CWT inavyopigwa

Maji yanazidi kuchemka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), huku mkataba wa kinyonyaji wa mshauri wa mradi wa ujenzi na madeni kwenye Mfuko wa Jamii wa PSPF, yakiwa ni miongoni mwa mambo yanayoendelea kwenye chama hicho.  JAMHURI limebaini CWT iliingia mkataba wa kinyonyaji na Kampuni ya Settlements De Popolo Consultants wenye gharama ya Sh…

Read More