Uponyaji wa majeraha katika maisha (2)

Katika familia yangu tuliwahi kupata jeraha. Septemba 14, 1999 lilitokea tukio la kuhuzunisha kwenye familia yangu. Dada yangu kipenzi, Cecilia aliuawa kikatili, na aliyetenda tukio hilo ni mumewe. Dada aliuawa akiwa anamnyonyesha mtoto wake wa kike aliyekuwa na umri wa miezi mitano. Tukio hili tulilipokea kwa mwono wa dharau. Tuliamini kwamba, mume wa dada yetu…

Read More

MAISHA NI MTIHANI (35)

Simba akizidiwa hula nyasi, huchambua asile miiba   Kutekeleza maono ni mtihani. Maono ni kuona ambacho hakionekani.  Kuna aliyesema: “Mtu bila maono ni mtu bila wakati ujao. Mtu bila wakati ujao atageukia wakati uliopita.” Atausifia wakati uliopita. Kuna wajenzi watatu waliokuwa wanajenga ukuta. Mpita njia alimuuliza wa kwanza, mnafanya nini? Alijibu: “Tunapanga matofali.” Alimuuliza wa…

Read More

Kuondoka Balton ni kosa kiuchumi

Mkutano wa Rais John Magufuli na wafanyabiashara ni miongoni mwa uamuzi wa busara uliosaidia kurejesha imani ya kundi hilo kwa serikali. Kulishatanda hofu kwamba wafanyabiashara ni kama vile watu wasiotakiwa, jambo ambalo si rahisi kutokea katika serikali yoyote makini. Nchi inahitaji fedha ili iweze kujiendesha. Kuna miradi mingi na mikubwa mno ambayo yote inahitaji fedha…

Read More

Tundu Lissu ‘moto’ wa nyika

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vincent Mashinji hivi karibuni alikutana na waandishi wa habari kuzungumzia uamuzi wa Spika wa Bunge, Job Ndugai kuiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusu Jimbo la Mbunge Tundu Lissu kuwa wazi. Tumenukuu sehemu ya maelezo hayo hapa. Hadi tunapozungumza (na waandishi wa habari) ikiwa…

Read More

Demokrasia ya vyama vingi si uhasama

Imetimu miaka 27 sasa tangu Watanzania waamue kurejesha mfumo wa demokrasia wa vyama vingi vya siasa nchini (1992 -2019). Katika harakati za kurejesha mfumo huu, kuna hotuba nyingi. Miongoni mwao viongozi waliotoa hotuba za namna hiyo ni Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, baada ya kukubali mapendekezo ya Halmashauri Kuu…

Read More

Yah: Siasa isiwepo kila mahali

Kuna siku moja katika waraka wangu huu niliwahi kuonya juu ya mambo ya kitaalamu kuwaachia wataalamu wayafanye, wale ambao ni wanasiasa wajitahidi kutembea katika nafasi yao ya kupambana na masilahi na uwezeshaji wa kupanga vipaumbele kutokana na umuhimu. Kuna mambo mengi ambayo huwa nawaza inakuwaje siasa iingie katika masuala ambayo kimsingi siasa haiwezi kutoa matunda…

Read More